Dah wanaume taabu

unamrushia vocha ya buku tu lol
dawa ya hawa 'chuna buzi type' usiwanyime kabisa
unawapa tu robo ya 'anachotaka kukuchuna'

Mi huwa nawakomesha sana,nauli buku 2!!ukitaka m-pesa unakula buku 5500 sizidishi hata senti
 
mkuu Nambe nakusupport 100 va 100, mana sure inantokeaga san mm, yan unakuta dem anashare gud tm naww wakat kahongwa na ***** lngne huko.
Wakuu m2 acwadangany kuhonga co ujanja weng wanaohonga huwa hawapendw kwa dhat bal utakuta dem ana kajamaa kengne ka pemben kanapendwa knoma na kula gud tm nae bla garam yyte.
THS IS SURE THNG-ANAEBSHA ANPM NMPE EVDENCE
Dah mi nakubaliana na wewe kabisa mkuu "Mtu anayekupenda for real hatakuletea invoice kabla hajajua status yako financially, pili atakuwa anakushauri on development issues and not all spending za kipuuzi kama kwenye ka ujumbe hako"

Wanaume kama mnaona mna ka mtu ka dizaini hii piga chini tafuta mwingine. Spend somewhere worth
 
Issue siyo akatumie na nani,cha mno nimepata ninachotafuta kwake na biashara imeisha,dogo achukue asichukue mie hainihusu
 
Back
Top Bottom