Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Hi hadithi mhhhhhh. Madereva na hizi familia, kama si mama ni binti kama si wote kwa pamoja!!! Kama ambavyo haouse maids anachanganya baba, watoto wa kiume, mjomba anayetembelea, shemeji, muuza genge, house boy wa ndani na wa jirani, muuza njegere na mchicha mtaani, yaani the list is long!! Tuko wangapi? Tulizana!!