Dah, Pole sana mbaba...

Dah, Pole sana mbaba...

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
1551260091673.png
 
Kama huyu jamaaa.Aiseee.

Nafsi yangu imegoma kabisa kuamini kama kinachoonekana usoni ndio kipo mpaka ndani ya moyo wake. Ila nisihukumu huenda.

Yaaaaani acha tu mwaya.

Mie huwa nashindwaga kabisa kumuelewa Wallah. Yaani yupo yupo tu kwa kweli hata akiwa kwenye hali ya ukweli inakuwa ni ngumu kumuamini kuwa yupo kwenye hali ya ukweli unahisi kama ana-fake tu muda wote mamiiii.

Acha tu my dear.
 
Hahahaaa. Umeonaeeee.

Waeza kuta kajiweka hivyo apigwe picha tu tu ili baada ya hapo airushe insta apate likes na followers lakini nje ya hapo hana hata chembe ya Uchungu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Waigizaji si wa kuwaamini hata kidogo.
 
Back
Top Bottom