MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima
nitumie mbinugani wadau
nitumie mbinugani wadau