Dah nimemkumbuka sana aliyekuwa mpenzi wangu!

Mimi bwana namshukuru sana ex wangu 1 hivi ambaye niliachana nae takribani miaka 10 iliyopita. .... ambaye na weza kusema kwamba kwa namna moja ama nyingine ndiye Alisaidia kunikomoza na kuufanya moyo wangu uwe mgumu kama Jiwe. ...

Huyu manzi alikuwa ni kicheche ile mbaya tena sana. ... Mahusiano yetu yalikuwa ni full mapicha picha. .ijapokuwa siwezi kukataa kuwa pia licha ya Tabia yake hiyo alikuwa na MEMA yake mengi tu Mazuri. ....

Basi bwana hiyo Tabia yake ya ukicheche ndio iliyo nikomaza kiasi kwamba mpaka hivi leo huwa sinaga desturi ya kubabaikia mahusiano. .. Yaani nikiwa in relationships mtu akileta za kuletaleta na mimi naleta za kuleta leta. . If akitaka Tuachane naona poah tu '' yaani kani athari sana aise yule manzi ' lakini kwa namna moja namshukuru maana dunia ya sasa imejaa uongo sana kwenye mahusiano ' ....

Yaani huwa siya babaikii kabisa mahusiano mpaka sometimes najishangaa
 
Binamu.....
Kwa taarifa yako umri kuanzia 20-25 ndio wana asilimia kubwa ya kuwa na akili kubwa kubwa

Halafu ushauri uende pia kwa wanaume...msipende kuumiza wanawake wanaoonesha kuwapenda kwa dhati,tulieni na mmoja basi
 
Hii post imebeba feelings sana ,na inaonesha uhalisia mkuu kwel umeumizwa,,, we share the same story yani ulivoandika kwa uchungu hadi nmekumbuka jinsi nlivompenda yule mschana ,yan nilimpenda kushinda nlivojipenda ila mwisho Wa siku alienda, kaniacha na best lesson
We were traped on the same chain
Her name is foster but Peaceful i let her go ....
 
Daah pole sana ila nami ndo ninalo li exipiriance now but nitazoea tu,ila mi kosa ni langu siwezi ku complain sana
alafu nilikua na ka binti nilikaachia namba ndo kana mature vyema leo anakuja nitafuta baada ya miak 2na nusu ana mtoto wa miezi miwili, anatamani nimuoe coz hana mwelekeo nawaza sana ila sitoweza
Hahaha hutaki single mother
 
Back
Top Bottom