Dah! Mkulima ndiye amesababisha ndege ya Tanzania ikamatwe Afrika Kusini - Reuters

Swali linakuja ni nani aliyemshauri huyo Mkulima? Ni ma-snitches ambao walikuwa wanapiga hela kabla ya Magufuli kuingia sasa wako juu wya mawe, hivyo they going down fighting, lkn tutawamaliza, Mungu alishaamua muda wa TZ yetu kutoboa umeshafika na hakuna wa kutuzuia, tutambomoa!
Mkuu jiwe atakupa uchizi
 
Mimi ningekuwa Magfool ningekataa kulipa na ningecut diplomatic relations na SA mara moja kisha kuambia balozi wa TZ kurudi nyumbani na wa SA kurudi kwao.
 
Kila kitu kina utaratibu wake.
Punguza chuki na serikali au serikali ilikugegedea PISI yako.

Hata utaratibu huujui!

Utaratibu ni kua hukumu ikitoka ulieshindwa unapewa kopi yako tayari kutekeleza ulichoambiwa!

Mpaka leo hujalipa!

Maana yake hukutekeleza hukumu!

Utaratibu unaousemea ni wa kujisaidia vichakani au upi hasa??

Lipa deni chukua lindege lako peleka kwenu huko!

Na ukichelewa linauzwa!

Serikali na CCM sizipendi hata kidogo!

Ni uamuzi wangu binafsi!

Ni kama wewe ulivyo na haki ya kuipenda mimi siipendi!

Ni moyo wangu,na wewe unao wako!

Tuachiane uhuru please!
 
yeah, hili ni angalizo zuri kwa ajili ya viongozi wetu.

hizi vurugu tunazowafanyia Barrick/Acacia sasa hivi zitakuja ku catch up na sisi huko mbele ya safari.
Kwa iyo bora wangeendelea kutunyonya
 
HaHaha.....magufuli ni ng'ombe ya kawaida tu.

He registered those new planes as property of GoT property to avoid seizure for ATCL outstanding debts.....now they are getting impounded because the GoT is not paying it's debts(feel free to insert your favorite facepalm gif here)

And to think these planes were supposed to bring pride to Tanzania. Jeezus.

Ujamaa f^cked these people sideways
Fvck you too
 
Back
Top Bottom