Dah! Mkulima ndiye amesababisha ndege ya Tanzania ikamatwe Afrika Kusini - Reuters

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,650
48,415
Kuna mataifa utawala wa sheria hufanya kazi sio mchezo, yaani mkulima wa Afrika Kusini ambaye anadai kwamba ardhi yake ilitaifishwa kipindi alikua akiishi Tanzania, aliwasilisha kesi mahakamani na kusababisha ndege ya Tanzania ishikiliwe hadi alipwe hela zote pamoja na riba.

Inabidi kuwa makini sana unapowavuruga wageni ambao siku wakirudi makwao halafu unafuata huko na mindege. Ni muhimu sana kuzingatia wakati wa kukimbizana na akina Acacia, maana wana mawakili wa kimataifa na wakiamua, aisei utanyan'ganywa hadi majengo ya ubalozi.

------------------------------------

South African authorities impounded an Airbus 220-300 aircraft leased by Tanzania’s national flag carrier following a court application by a retired farmer who is owed compensation by the Tanzanian government, the farmer’s lawyer said.

The plane had been scheduled to fly from the Oliver Tambo International Airport in Johannesburg, South Africa, to Dar es Salaam, Tanzania on Friday, but was seized on an order issued by the Gauteng High Court in Johannesburg, Tanzania’s transport ministry said in a statement on Friday.

Roger Wakefield, of Werksmans Attorneys, said his client, an elderly farmer who asked not to be named, was owed $33 million, including interest, in compensation from the Tanzanian government after his land in the country was expropriated several decades ago. The farmer was subsequently awarded the compensation in an arbitration, he said.

Wakefield said the only way Tanzania could secure the release of the plane was if it put up security or paid the debt.

A Tanzanian government spokesperson was not immediately available for comment.

Calls to the High Courts in Gauteng province went unanswered outside of usual business hours.

Speaking by phone to Reuters, Wakefield said the plane was impounded in line with South African and international laws allowing for an asset owned by a foreign entity to be attached to a case related to a foreign arbitration award.

The plane was chosen because there is evidence it is owned directly by the Tanzanian government and its value is commensurate with the amount owed to the farmer, who was born in Namibia, he said.

yeah, hili ni angalizo zuri kwa ajili ya viongozi wetu.

hizi vurugu tunazowafanyia Barrick/Acacia sasa hivi zitakuja ku catch up na sisi huko mbele ya safari i swear!
 
Swali linakuja ni nani aliyemshauri huyo Mkulima? Ni ma-snitches ambao walikuwa wanapiga hela kabla ya Magufuli kuingia sasa wako juu wya mawe, hivyo they going down fighting, lkn tutawamaliza, Mungu alishaamua muda wa TZ yetu kutoboa umeshafika na hakuna wa kutuzuia, tutambomoa!
Kwamba huyo mkulima hawezi kufanya jambo hadi ashauriwe?
Unadhani kila mtu ni akili mgando Kama zako?
 
HaHaha.....magufuli

He registered those new planes as property of GoT property to avoid seizure for ATCL outstanding debts.....now they are getting impounded because the GoT is not paying it's debts(feel free to insert your favorite facepalm gif here)

And to think these planes were supposed to bring pride to Tanzania. Jeezus.

Ujamaa f^cked these people sideways
 
Wewe usiangaike tu na matatizo ya nyumbani kwako angaika na vya wenyewe maana ndio kazi uliyonayo.
 
Leo ni Census vile kule Kenya?

By the way, itaachiliwa hio ndege na senti hatutoi :D
 
Kuna mataifa utawala wa sheria hufanya kazi sio mchezo, yaani mkulima wa Afrika Kusini ambaye anadai kwamba ardhi yake ilitaifishwa kipindi alikua akiishi Tanzania, aliwasilisha kesi mahakamani na kusababisha ndege ya Tanzania ishikiliwe hadi alipwe hela zote pamoja na riba.

Inabidi kuwa makini sana unapowavuruga wageni ambao siku wakirudi makwao halafu unafuata huko na mindege. Ni muhimu sana kuzingatia wakati wa kukimbizana na akina Acacia, maana wana mawakili wa kimataifa na wakiamua, aisei utanyan'ganywa hadi majengo ya ubalozi.

------------------------------------

South African authorities impounded an Airbus 220-300 aircraft leased by Tanzania’s national flag carrier following a court application by a retired farmer who is owed compensation by the Tanzanian government, the farmer’s lawyer said.

The plane had been scheduled to fly from the Oliver Tambo International Airport in Johannesburg, South Africa, to Dar es Salaam, Tanzania on Friday, but was seized on an order issued by the Gauteng High Court in Johannesburg, Tanzania’s transport ministry said in a statement on Friday.

Roger Wakefield, of Werksmans Attorneys, said his client, an elderly farmer who asked not to be named, was owed $33 million, including interest, in compensation from the Tanzanian government after his land in the country was expropriated several decades ago. The farmer was subsequently awarded the compensation in an arbitration, he said.

Wakefield said the only way Tanzania could secure the release of the plane was if it put up security or paid the debt.

A Tanzanian government spokesperson was not immediately available for comment.

Calls to the High Courts in Gauteng province went unanswered outside of usual business hours.

Speaking by phone to Reuters, Wakefield said the plane was impounded in line with South African and international laws allowing for an asset owned by a foreign entity to be attached to a case related to a foreign arbitration award.

The plane was chosen because there is evidence it is owned directly by the Tanzanian government and its value is commensurate with the amount owed to the farmer, who was born in Namibia, he said.

Safi sana!

Watu wajifunze kua kua serikali sio tiketi ya kufanya dhuluma!

Haijalishi wewe ni Jiwe kiasi gani!

Dhuluma mwisho wake ni aibu!

Unadhulumu watu sababu wewe ni serikali ya ki-shithole!

Sasa kalipeni hizo 33mil!

Tanzania tuna suffer sababu ya bad decision making ya ruling class!

Halafu tunabaki tunachekelea kama majuha!
 
Back
Top Bottom