Hakuna namna ya kuyatoa mamba haya ila nikusema ubunge uwe na kikomo, kama Rais ili kusiwepo naujinga wakuseman italala na hakuna wakuniuliza, pia kuwepo na kura ya maoni kilabaada ya mwaka kupima kazi za wabunge ili wawajibike kwa wananchi kama kura ya imani isipokuwepo hakuna kitakachoendelea ili kama hawawezi kufanya kazi basi tuwaondowe.