si unajua bunge la kumi chini ya maza ni vijembe na mipasho na hiyo kwake ni fani...sasa pengine aliyekuwa anaghani mipasho hakumvutia si ajabu kwa kukosa kipaji...mzee akaona isiwe shida..akaamua kuuchapa usingizi....:laugh:
....Na hawa ndio wanaopitisha hoja za msingi bungeni wakiwa usingizini mwishowe wanaingiza nchi kwenye matatizo ya Dowan's, Richmond, Meremeta, Kagoda etc etc etc...............Jitu limevimbiana utadhani kuna pump inajaza upepo..Walaaaniwe kabisa!
CCM...CCM... aah aah Chama cha mapinduzi CCM namba 1............tieni tieni tieni kwa moyo mmojaaa..... hapa anaota ndoto za kutunga nyimbo za ujinga tu ili avute mafungu
As you all know kuna kazi za mchana na za usiku kwa wale waliooa. Kazi ya usiku ikifanywa baada saa 8 usiku na uamke muda wa kawaida lazima mchana usingizi utakupitia.
Msimlaumi ila arekebishe ratiba yake mambo ya say 17/2 yafanyike ndani ya 17/2 na siyo asubuhi ya kuamkia 18/2 akifanya hivyo hatalala mchana.