mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
bora mkate tu watu wapumzike..na wa kunyonyesha akanyonyeshe na wengine wafanye shuhuli za maendeleo huko maofsini kwao sio kila saa mpo humu :happy:
Kumbukeni na Kuchangia JF, mkono mtupu haulambwi!
Nawasikitikia mateja wa JF, nawatangulizia pole ktk kipindi hicho kigumu.
...mmmh!...mkuu em funguka kidogo,hii "kinyoanyoa" ndo kitu gani?...Aisee papaa hayo ni marekebisho gani yachukue muda mrefu kiasi hicho?. Jamani hapa kwa upande wangu sitanii JamiiForums ndo partner wangu wakati wote, iwe kwa ofis, home au pengine pale niwapo, sa unaponiambia nitaikosa JamiiForums kwa siku nne, yaan ni mawazo makubwa mno, bora wife aninyime kinyoanyoa kwa miezi minne kuliko kukosa kwa siku nne hii kitu naitwa sijui JamiiForums. Jamani wazee acheni mchezo bana, mie nipo porini huku mshikaji pekee ni JamiiForums anae nipa news zaidi ya hao sijui CNN au na hiyo TBC yenu. Punguzeni hizo siku angalau ziwe mbili tu yaan tar 12 na 13. Yaan hapa na mawazo kinyama acheni kabisa hizo bwana invisible, mnavyonifanyia siyo kabisa na ni uonevu wa hadharani wajameni.
Be blessed you all.
Byebye JF mpaka j3