Dah Mei 12 hadi 15...

Dah Mei 12 hadi 15...

Manundu mko wengi, mnawahi wapi? Chooni muwahi na JF muwahi khaaaaaa!
 
Hivi wewe ndio Invisible? Wapo wameandika JF inafungwa kupisha matengenezo?

Mkuu ritz.....mbona amejieleza vizuri....hebu papasa macho vizuri utaona wapi wameandika......alivyofanya ni vyema coz sio wote tunaweza kuona tangazo hilo......

 
Last edited by a moderator:
Members: 76,893
Total Topics: 203,174
Total Posts: 3,818,613
Currently Online: 9053








  1. TAARIFA MUHIMU: Kuanzia Mei 12 hadi Mei 15 tutakuwa na marekebisho makubwa kwenye tovuti hii. Endapo hutotupata, fuatilia yanayojiri kupitia FikraPevu au JamiiForums on Facebook
 
du hata mimi nilikuwa sijaona,asante kwa taarifa

lakini itakuwa siku zote 24hrs kutoka 12-15/5 mbona hi itakuwa mateso

na hii fikra pevu si site ya news tu badala ya michango?
 
Nimeona tangazo lao hapo juu,lakini uzoefu unaonesha kuwa walio wengi huwa hawasomi matangazo hayo labda kupitia njia hii.

tangazo lenyewe ni hili hapa

TAARIFA MUHIMU: Kuanzia Mei 12 hadi Mei 15 tutakuwa na marekebisho makubwa kwenye tovuti hii. Endapo hutotupata, fuatilia yanayojiri kupitia FikraPevu au JamiiForums on Facebook




Mods mkiona nimekosea basi ondoa hii thread

Siku 3 mfululizo wengine tutaumwa kabisa
 
umefanya vema mkuu....mimi mwenyewe sikuona....dah....sasa itakuwaje.....
Namba yangu ya simu si unayo? Hebu nipe akaunti yako ya facebook. Siwezi kuishi bila kuchat na wewe asee....
 
Mkuu ritz.....mbona amejieleza vizuri....hebu papasa macho vizuri utaona wapi wameandika......alivyofanya ni vyema coz sio wote tunaweza kuona tangazo hilo......


Dada ya Preta mbona hiyo habari ipo juu tu ukifungua JF wala hawajasema kufungwa walichosema wanafanya marekebisho makubwa huenda kama ukuipata JF wametoa maelezo unaweza kuwapata kwenye fikrapevu au JamiiForums on Facebook.

Hakuna sehemu wameandika kufungwa.
 
Last edited by a moderator:
asante mkuu. sasa tutakua tunapost wapi thread? au tutakua tunacomment facebook? hii hali tutaipatia ufumbuzi tu.
 
Manundu mko wengi, mnawahi wapi? Chooni muwahi na JF muwahi khaaaaaa!

Acha matusi kama wewe hii thread haina mashiko ipotezee, mimi mwenyewe sikusoma tangazo pale juu
 
Dada ya Preta mbona hiyo habari ipo juu tu ukifungua JF wala hawajasema kufungwa walichosema wanafanya marekebisho makubwa huenda kama ukipata JF wametoa maelezo unaweza kuwapata kwenye fikrapevu au JamiiForums on Facebook.

Hakuna sehemu wameandika kufungwa.

We acha kuwa mbishi au pengine ulewa wako ni mdogo! nini maan ya "unaweza kuwapata" watakuwa wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom