We acha kuwa mbishi au pengine ulewa wako ni mdogo! nini maan ya "unaweza kuwapata" watakuwa wapi?
Wengine tulisha ikimbia FB....asante mkuu. sasa tutakua tunapost wapi thread? au tutakua tunacomment facebook? hii hali tutaipatia ufumbuzi tu.
I see unahamishia mashambuli fesi buku
JF haina tofauti na miziki ya mipasho,ikifungwa moja kwa moja hakuna hasara,mbona ze utamu ilifungwa na watu wakasahau bwana,mods wa JF jifunze kupost vitu vya maana msijikite kwenye siasa uchwala na mambo ya lulu na kanumba ambayo hayana msaada kwa wachangiaji
Wewe mwenye uelewa mkubwa ukiikosa JF ingia hapa fikrapevu au JamiiForumsFacebook.
ODMNamba yangu ya simu si unayo? Hebu nipe akaunti yako ya facebook. Siwezi kuishi bila kuchat na wewe asee....
Hujambo mama wa kwanza? Usijali ntakufolo twitter si ndio?Asante kweli tangazo nilikuwa sijaliona siku tatu ni sawa na miaka mitatu.
Ila mtakuwa mmetusaidia
Kimey huko Twitter wengine hatuna account ..makutano junction ni JFHujambo mama wa kwanza? Usijali ntakufolo twitter si ndio?
ODM
huko kwenye account ya FB kuna pesa?
andika hii...Perpetua Barabojiq Qumnas....niadd nitakuaccept kule fb....mwambie na ODM....