Katibu mtendaji
JF-Expert Member
- Feb 14, 2015
- 700
- 244
Watoto wa mafisadi kazini mako kiboko yenu...Hivi nyie mnadhani makongoro mzimae,hivi unaweza piga gongo akili ikawa timamu kweli,huyu muda wote yuko vyombo sasa unategemea nini kutoka mdomoni kwake,na mtu wa aina hiyo huwezi mshitaki kisheria yuko insane na hana kosa.
Makongoro kweli anajiamini na yuko vizuri sana kwanini vyombo vyetu vya habari haviripoti mambo haya?
unataka raisi mwongo na fisadi
Hawakukutana barabarani..
Hatutak rais mnywa gongo kadanganywa na midimu ili amchafue lowasa eti apewe uongozi ajui mafia ndio wanaosmamia show atajutia matusi yake chumban hamjui Jk amuulize nape wa ccj na mradi wa kuvua gamba aliishia wapi
Mkuu huyu ni kiboko ndo maana timu fisadi matumbo joto, haogopi mtu!!
Angekuwa anapewa coverage na hizi media za mafisadi, akyanani nakwambia sasa hivi tungekuwa tunamsadia kujadili baraza la mawaziri
Umeona eeh!! yaani combinationa ya Makongoro na Magufuli sipati picha kabisa mkuu, nchi itarudi enzi za Sokoine
Namuomba Mungu usiku na mchana hawa watu watuongoze japo kwa miaka 5 tu
He hivi nchi hii bado kuna watu wanatamu ccm iendelee kutawala nchi hii?ili wafanye nn sasaUmeona eeh!! yaani combinationa ya Makongoro na Magufuli sipati picha kabisa mkuu, nchi itarudi enzi za Sokoine
Namuomba Mungu usiku na mchana hawa watu watuongoze japo kwa miaka 5 tu
unataka raisi mwongo na fisadi
Ikulu si yaBabako!
Mkuu tatizo kubwa la nchi ni panya (ufisadi/wizi),Leo watanzania hawaoni aibu kuitwa wezi,ccm inajenga Taifa la wezi,tunahitaji rais wa mwenye uwezo wa kuwapa sumu Hawa panya na kuwateketeza Kabisa,bahati mbaya rais wa namna hiyo hawezi kutoka ccmMakongoro hawezi kua Rais jaman,acheni mchezo na Ikulu.Tatizo la Tanzania sio Ufisadi pekee, na haliwez kumalizwa kuwatukana wenzako,tatizo kubwa la Tanzania ni System na Bureaucracy,mengine yote yanazaliwa na kutoka humo.Sasa huyu Makongoro hajui kiini cha tatizo,akiwa ikulu hawezi badili chochote ataishia kuwadhibiti wanaompinga, huku wananchi wakiendelea kuteseka kila uchwao.
Atafute wadhamini, sio kutukana wenzake, mbona hawajiamini
Hahahahaa huyu nilishasema kuwa hana presidential cachet.
Ni loose cannon flani hivi...
Nitashangaa sana kama CCM wakimteua.
Atafute wadhamini, sio kutukana wenzake, mbona hawajiamini
Makongoro kweli anajiamini na yuko vizuri sana kwanini vyombo vyetu vya habari haviripoti mambo haya?
Makongoro hawezi kua Rais jaman,acheni mchezo na Ikulu.Tatizo la Tanzania sio Ufisadi pekee, na haliwez kumalizwa kuwatukana wenzako,tatizo kubwa la Tanzania ni System na Bureaucracy,mengine yote yanazaliwa na kutoka humo.Sasa huyu Makongoro hajui kiini cha tatizo,akiwa ikulu hawezi badili chochote ataishia kuwadhibiti wanaompinga, huku wananchi wakiendelea kuteseka kila uchwao.