dah! laiti kama ningeweza......

dah! laiti kama ningeweza......

neno! culture is complex. bt family haina kitu wanaomba tuwachangie ili wamcheze huyo binti tena kidato cha kwanza na kutupigia kelele.

Culture ya makabila mengi ya kusini hiyo mkuu. Makonde,Zaramo,Yao,Mwera,Ndengereko,Makua,etc.
Ila wanafanya kwa watoto wa miaka 10 mara nyingi. Na ukikutana nao kimwili kaka.. Unaweza kujiuliza ulichelewa wapi. Ila kama wako mjini, hautakuwa unyago orijino huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom