baba junior
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 143
- 30
wana jf,hapa nilipo hoi. na wala sina hamu ya kulala kwangu usiku huu.tamadun hzi yabid zilekebishwe kulingana na muda unavyokwenda.inamaana gani kupiga mziki mkubwa ucku kama huu eti mpaka asubuh kisha MTOTO WA KIKE ANACHEZWA.Laiti kama ningeweźa ninge,,..
Toka nje nenda hapo wanapopiga mziki kamata toto moja ije ifidie usingizi uliopoteza
Si kila tamaduni itawafaa watu wote kwa wakati wote!
anachezwaje! naona niko nyuma sana na izi mila mana hata sijaambulia kitu hapo
ndio kitchen party yao nini???makonde na zaramo people wanaipenda sana hii,eti kumfunza mtoto wa kike adabu na heshima ie unyago na jando.