dah! laiti kama ningeweza......

baba junior

Senior Member
Sep 21, 2012
143
30
wana jf,hapa nilipo hoi. na wala sina hamu ya kulala kwangu usiku huu.tamadun hzi yabid zilekebishwe kulingana na muda unavyokwenda.inamaana gani kupiga mziki mkubwa ucku kama huu eti mpaka asubuh kisha MTOTO WA KIKE ANACHEZWA.Laiti kama ningeweźa ninge,,..
 
dah! bora ningekuwa nimelewa jaman ningelala!nalazimika nami kukeśha kama wao.
 
Kawashitaki, sheria za miji hazirususu makelele baada ya saa nne usiku
 
Acha watoto wachezwe bana! Tutakuja kuwa na visichana kama sweetlady halafu hapata tosha ati?
 
Last edited by a moderator:
anachezwaje! naona niko nyuma sana na izi mila mana hata sijaambulia kitu hapo
 
Si kila tamaduni itawafaa watu wote kwa wakati wote!

wana jf,hapa nilipo hoi. na wala sina hamu ya kulala kwangu usiku huu.tamadun hzi yabid zilekebishwe kulingana na muda unavyokwenda.inamaana gani kupiga mziki mkubwa ucku kama huu eti mpaka asubuh kisha MTOTO WA KIKE ANACHEZWA.Laiti kama ningeweźa ninge,,..
 
Toka nje nenda hapo wanapopiga mziki kamata toto moja ije ifidie usingizi uliopoteza
 
ha ha ha ha! dady wa family mie zen totoz wenyewe wananuka vumbi ukimbeba ful kuchafua mashuka,by the way leo ndo siku yenyewe ya kumtoa nje huyu binti,ninalo na leo
 
anachezwaje! naona niko nyuma sana na izi mila mana hata sijaambulia kitu hapo

makonde na zaramo people wanaipenda sana hii,eti kumfunza mtoto wa kike adabu na heshima ie unyago na jando.
 
leo ndío cku anatoka nje huyo binti,kelele ni mara mbili ya jana,nahofia kuchelewa job kesho au kucnzia muda wote kesho!
 
ha ha ha ha! dady wa family mie zen totoz wenyewe wananuka vumbi ukimbeba ful kuchafua mashuka,by the way leo ndo siku yenyewe ya kumtoa nje huyu binti,ninalo na leo

Hamadiiii! Katoka nje kakutana na Mama v! Mi sijui bana!
 
Last edited by a moderator:
Hapo zilipo ofisi za Zantel na New Msasani Club palikua ndio makao makuu ya Wazaramo na Wamakonde kucheza watoto wa kike, pia watu wa mazingaombe, kulikua na kama uwanja wa wazi hivi...nilikua naishi hapo kona hizo nyumba opposite na barabara itokayo Oysterbay polisi
 
wana jf,hapa nilipo hoi. na wala sina hamu ya kulala kwangu usiku huu.tamadun hzi yabid zilekebishwe kulingana na muda unavyokwenda.inamaana gani kupiga mziki mkubwa ucku kama huu eti mpaka asubuh kisha MTOTO WA KIKE ANACHEZWA.Laiti kama ningeweźa ninge,,..

Wapi hiyo? Duh pole
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom