Dah, kweli tunatofautiana.......

Ndiyo huyo huyo unayemfikiria wala sijakosea

Off topic lazima ziwepo ili mada ichangamke!Kwani tuko jeshini hapa mpaka tuwe kwenye pozi la ATTENTION muda wote?Tunahitaji kua AT EASE ili tuweze kuchangia!

Hivi nini maana ya Great Thinker?

Hivi una chaja ya kobe ya pini ndogo lolz

Fy..Fynest mbona unaniangusha babaangu!?

Kweli tunatofautiana uwezo wa kutafakari na kutenda..
Ila nasita kuwaita Great thinkers....
 
Wewe mwanamke sasa unataka kuiniaibisha hapa, haya mambo ya KUGONGA unajua sio mazuri presha yaweza shuka, halafu kuna ishu inabidi tuzungumze nadhani Teamo atakuwa amekupa hint kama bado nitakushtua nikwambie

Ha ha ha ha ha ha ha, mkesha wa story via bluetooth naupenda sana, tunaongea yote,
hadi story za mende na buibui na mbu halafu maisha yanakwenda.
Hebu niambie hiyo ishu bana, inaweza kuwa ya pesa nikapata ya kununua nyama jpili hii.
Nakudai halafu!!
 
Ha ha ha ha ha ha ha, mkesha wa story via bluetooth naupenda sana, tunaongea yote,
hadi story za mende na buibui na mbu halafu maisha yanakwenda.
Hebu niambie hiyo ishu bana, inaweza kuwa ya pesa nikapata ya kununua nyama jpili hii.
Nakudai halafu!!
Yaani wewe na pesa ni kama mfagio na vumbi
 
1. Siasa 2. wanawake 3. Manchester United 4. Wanawake 5. Chelsea 6. Wanawake 7. Kompyuta na elektroniki 8. Wanawake 9. Arsenal 10. Wanawake
11. Biashara 12. Wanawake 13. Bundersliga 14. Wanawake 15. Muziki 16. Wanawake
17. Magari 18. Wanawake............... 19. Masomo …………… .

mh!.....
 
hata mimi mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako na nilikuwa nafanya hivyo hivyo infact. Huo ni ugonjwa wa kushindwa kufanya muendelezo wa mazungumzo. Kama ni vitu hivyo vya maana unvyoviona vya kumpigia simu basi utakuwa unarudia yale yale kila siku. Vitu ambavyo waviona havina maana ndo hao unaowaita mademu wanapenda,,,jaribu uone....
 
yap kama ulivoanza nakusema wanaume mnatofautina ni kweli, wewe akili yako inawaza kila mwanamke unayeongea naye lazima umtongoze kwanza si ndio... wengine wanapenda urafiki na kufurahi na roho zao, kwako wewe maongezi ya man u na chelsea umeona ya maana ila kwa mwengine hayana maana. mi huwa naongea na rafiki zangu hata 8 hrs hata sometyms huniuliza umevee nguo gani leo nk
Kweli wanaume tunatofautiana, unakuta eti Mwanaume anampigia simu demu anapiga naye story kwa masaa manne hadi sita. Story zinazopigwa ni kuhusu Birthday, mahusiano, nguo za rangi gani zinavutia, sherehe gani unapendelea na kuhusu familia zenu mara Baba yangu ni mkali mara mama yangu hapendi kutazama Tv!!!

Au mimi ndiyo nina matatizo kwa sababu siwezi kuongea na demu kwenye simu zaidi ya nusu saa unless tunongelea mambo yanayoeleweka, mara nyingi huwa naona bora kumpigia msela mwenzangu na tukazungumza hata kwa masaa mawili bila kuboreka kwa sababu ni mengi ya kuongelea na wakati huo huo kujifunza, kwa mfano:

1. Siasa 2. wanawake 3. Manchester United 4. Wanawake 5. Chelsea 6. Wanawake 7. Kompyuta na elektroniki 8. Wanawake 9. Arsenal 10. Wanawake
11. Biashara 12. Wanawake 13. Bundersliga 14. Wanawake 15. Muziki 16. Wanawake
17. Magari 18. Wanawake............... 19. Masomo …………… na bado tukaahirisha mazungumzo kwa sababu ya muda au majukumu mengine.

Inaweza kutokea mtu unashindwa kulala eti kisa jirani yako anapiga stori na "rafiki yake" (mwanamke) tangu usiku mpaka asubuhi, ukimwambia amtongoze huyo demu basi kieleweke, anadai dini haimruhusu kutenda dhambi. Baada ya muda demu anapata Bwana, unaona njemba inanyong'nyea eti ita-miss mtu wa kupiga naye story. My foot!!!!!!

Kwenye hili suala kuna mtu lazima ana matatizo, aidha mimi au mtu wa aina hii….
 
SASA TATIZO LIKOWAPI JAMANI WE SI USHAKUBALI KUWA MNATOFAUTIANA?????? story unazo ona wewe za maana kwa wenzio hazina maana
Mkuu ninachomaanisha ni kuwa watu tunatofautiana...
Kwamba mtu anapiga story kuhusu Birthday na vitu vingine unnecessary labda tuseme kwa masaa sita....
Unamshauri kuwa kama vipi afanye mambo ili binti awe wake manake anamkubali msela, yeye anaweka mapozi...
Inatokea siku binti anachukuliwa na wasiopiga story nyingi, mtu anaanza kuvuta midomo....
Hapo ndo maana nahisi aidha mimi au watu wa dizaini hiyo kuna mmoja ana matatizo....
 
Sijui sijakuelewa vizuri, ni unadharau hao unaowaita mademu kwamba hawana story za maana au??????
Halafu mtu akiwa anapiga story na huyo demu haitoshi mpaka amefanya uzinzi au??

Daaaaa ngoja niache, manake sio lazima kuchangia kila thread, nitasoma maoni ya wengine. Kwa heri.
yani uloandika ni mchango tosha
 
uwo tunasema ni ulofa kuongea na mtu ni jambo muhimu sana acha masela waongee naye basi kama utaridhi
 
Back
Top Bottom