dah kweli sekenembo

molely molly

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
317
30
hebu fanya kauchunguzi ni kwa nini wapenzi wanapokua ndio wanataka kufanya tendo la ndoa husaidiana kutoa nguo kwa pamoja tena kw romance kali lakini baada tu ya tendo la ndoa kila mtu anavaa nguo kivyake nimtazamo tu!:rockon:
 
Huo msamiati ni Mpya huo wa msekenembo....ngoja niwa kontakti TUKI na Baraza la Kiswahili
Ila hilo la kuvuana nguo hilo na baadae kila mtu anavaa kivyake kama kweli basi mmhhh
 
ni wewe tu unayefanya hivyo na huuu uchunguzi haujathibitika ni mawazo yako tu mpenzi wako ukivulisha nguo na wakati mmemaliza lazima unamuvalisha tu inaonekana wewe unafanya mapenzi kwa kuiga
 
ya nini umvalishe wakati ulishamgegeda na ujanja wake wote umekwisha wewe.
 
ya nini umvalishe wakati ulishamgegeda na ujanja wake wote umekwisha wewe?
 
uchovu ndio huwa unaleta hili lakila mmoja kuvaa kivyake na pengine hata kama mnalala lazima kila mmoja ageukie kivyake maana mziki huwa umekolea vyakutosha labda kama hujamkuna kisawasawa lakini kama ukunaji ulikuwa mlua lazima asikumbuke hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom