Dah kweli malipo ni hapahapa. . . .

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
539874_447291341989375_1756787684_n.jpg
 
Mungu anajua yote tunayotendewa na wanadamu wenzetu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hapo wameshatembeza virungu wanasepa, sasa huyo ndio chupu chupu aachwe angegeuzwa asusa.
 
yaani hapo ule ujasiri wote wa kiaskari unaondoka...sasa kinachotamalaki hapo ni mishuzi isiyo na idadi
 
angekuwa ni mwandishi wa habari hapana shaka wangmwambia shofele aongeze kasi au huyu mwanajeshi anayening'inia angemshindilia na zinga la teke.....................
 
hiyo ni kawaida tu mbona, wanafanya haya mazoezi sana(KURUKIA KUINGIA NA KURUKA KUTOKA GARI LIKIWA KWENYE MWNEDO).
Hapo sidhani kama hata alidhurika.
 
Back
Top Bottom