Dah!..kweli kutongoza habari nyingine..

Dah!..kweli kutongoza habari nyingine..

Nakupa version rahisi, ambayo unaweza kuitumia kutongozea.

Kama huwa unakutana naye na ynamsalimia ni vizuri, mwombe namba yake ya simu yeye mwenyewe, mweleze kiutani tu kwamba kuna mida unatakaga kumsalimia ila humwoni, hivyo ni vema uwe na namba unaweza kumjulia hali bila hata kuonana (ni badala ya kusema huwa una m-miss).

Akikupa namba, mpigie asubuhi kumsalimia (unaweza kuanza hata kumuuliza kama amekunywa chai, hii ya chai isiwe haraka), mchana (lunch) na usiku kulala kama mdau Faabroz alivyosema post no 22. Kila siku piga simu kusalimia muda fixed (usiharibu ratiba).

Baada ya wiki anza kutuma SMS pia za goodnight, hii ni baada ya kuwe mmeongea labda kama saa 3 usiku, saa 5 tuma SMS. Anaweza akaanza kuwa anajibu, hapa itakurahisishia.

Baada ya kama wiki mbili za kupiga simu kila siku, acha kupiga siku mbili uone je atakuulizia? Akikaa kimya halafu siku ukipiga akawa hajakuuliza kwa nini hukupiga ujue hii stratege imefeli, rudi nikupe nyingine.

Ila akikuuliza tu kwa nini hukupiga au akikupigia yeye, ujue yuko nyavuni tayari. Hapo sasa unaanza ratiba za kuonana naye lunch, pengine dinner etc, huhitaji kutongoza, from there utajua maana mtashitukia mapenzi yameanza.

Kwenye simu siku akikwambia hajisikii vizuri unajifanya kuonyesha unajali, unauliza kama ameenda hospital, kwa kufuata ratiba unauliza anaendeleaje, akisema amepona unasema nimefurahi kusikia umepona, unavaa uhusika wa kusikitika hasa (hata kama ni zuga).

NOTE: Sio lazima ziwe siku zote hizo, mwingine anaweza kuanza kutoa ushirikiano mapema tu mkaanza kuwa mnatoka weeend hata kutembea, movie, beach etc.

NB: 1. Unaweza pia kucheki profile yake ya FB itakupa mwanga ni mtu wa maisha gani, so unaweza kupata njia nyingine rahisi sana ya kumapproach.

2. Ungekuwa na gari haya yote tusingeya-discuss, gari inatongoza ndani ya siku 3 tu na usingehangaika hata na simu simu hizi. Labda kama na yeye ana gari.
 
Mademu wa siju hizi kuna kutongoza!! We kumbe bado sana
 
hahahaaa!!!

aisee umenikumbusha mbali sana kipindi changu cha foolish age!!

siku hiyo nilisema ngoja nitongoze kwa vitendo!!

binti wa watu masikini alihangaika mbele za watu utafikiri anakabwa shingo!

kila anapogeuka anakuta ninae tu na mimacho yangu!!!!!!!

mbona alikuja wmenyewe bila kuitwa!!!

namba yangu akaichukua mwenyewe bila kusita!

wala hata mnyamwezi sikuhangaika kusema mie!

Daah hizi avatar bwana, kumbe wewe ni me!!!!!!!!!! (sentensi kwenye red)
 
Wasaalam wakuu,

Nimeamini hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama kutongoza,yaani haina uzoefu wala nini.

Kuna mrimbwende mmoja amefanikiwa kuuteka moyo wangu lakini dah!..jinsi ya kumuanza inakuwa ngumu kwasababu sina mazoea nae.

Na hata nikijipanga mnyamwezi nimtemee madini najikuta nanyong'onyea nikimuona na nashindwa kumweleza.

Sijui ndio udomozege unanirudia...yaani kidume mzima namwogopa mtoto wa kike...?..kweli kutongoza noma.

simple sana mtumie kadi yenye ujumbe mzuri wa kumsifia au mpe hata mtu akupelekee maana uta sema unamuogopa kwanza atajifanya anapotezea after that njia ya kumuanza umeshaipata madada hawana say mbele ya gentlman bhana mpe sifa alizonazo msifie madada ni kusifiwa ni ugonjwa wao bhana kiumbe adimu hicho shaulilo!!?...MOBILE CHARGING.....................!......CHARGING COMPLETE
 
swtlo Kaizer hebu nikumbushe hivi siku ulipontongoza ilikuwaje tena??

lkn uongo mbaya kutongozwa ni raha sana kwa enzi zile tulizokua sisi.

hivi skuhizi kunakutongoza...yaani kama hivyo yani!!??
 
Last edited by a moderator:
Nakupa version rahisi, ambayo unaweza kuitumia kutongozea.

Kama huwa unakutana naye na ynamsalimia ni vizuri, mwombe namba yake ya simu yeye mwenyewe, mweleze kiutani tu kwamba kuna mida unatakaga kumsalimia ila humwoni, hivyo ni vema uwe na namba unaweza kumjulia hali bila hata kuonana (ni badala ya kusema huwa una m-miss).

Akikupa namba, mpigie asubuhi kumsalimia (unaweza kuanza hata kumuuliza kama amekunywa chai, hii ya chai isiwe haraka), mchana (lunch) na usiku kulala kama mdau Faabroz alivyosema post no 22. Kila siku piga simu kusalimia muda fixed (usiharibu ratiba).

Baada ya wiki anza kutuma SMS pia za goodnight, hii ni baada ya kuwe mmeongea labda kama saa 3 usiku, saa 5 tuma SMS. Anaweza akaanza kuwa anajibu, hapa itakurahisishia.

Baada ya kama wiki mbili za kupiga simu kila siku, acha kupiga siku mbili uone je atakuulizia? Akikaa kimya halafu siku ukipiga akawa hajakuuliza kwa nini hukupiga ujue hii stratege imefeli, rudi nikupe nyingine.

Ila akikuuliza tu kwa nini hukupiga au akikupigia yeye, ujue yuko nyavuni tayari. Hapo sasa unaanza ratiba za kuonana naye lunch, pengine dinner etc, huhitaji kutongoza, from there utajua maana mtashitukia mapenzi yameanza.

Kwenye simu siku akikwambia hajisikii vizuri unajifanya kuonyesha unajali, unauliza kama ameenda hospital, kwa kufuata ratiba unauliza anaendeleaje, akisema amepona unasema nimefurahi kusikia umepona, unavaa uhusika wa kusikitika hasa (hata kama ni zuga).

NOTE: Sio lazima ziwe siku zote hizo, mwingine anaweza kuanza kutoa ushirikiano mapema tu mkaanza kuwa mnatoka weeend hata kutembea, movie, beach etc.

NB: 1. Unaweza pia kucheki profile yake ya FB itakupa mwanga ni mtu wa maisha gani, so unaweza kupata njia nyingine rahisi sana ya kumapproach.

2. Ungekuwa na gari haya yote tusingeya-discuss, gari inatongoza ndani ya siku 3 tu na usingehangaika hata na simu simu hizi. Labda kama na yeye ana gari.

Mwana umetisha mbaya! Nimeikubal version yako mpya
 
Mkuu vp siku ya pili tu ukakuta tafadhali niongezee hela?!
 
Back
Top Bottom