Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Inategemea unataka kumgegeda tu au una long plan naye
Mkuu,labda uongezee na kung'atang'ata lipsi,kucha,...angalia chini huku unachekacheka kila ukionana nae.Mkuu nimemkonyeza hadi macho yanauma lakini bado ngoma ngumu...
..shukrani mkuu..ngoja ni test hii style inaweza ika work out.
Kwani siku hizi kuna habari za kutongoza kama enzi zile ?. Ninachojua mimi kutongoza siku hizi ni inshu nyepesi sana sio kama enzi nzetu unajipanga kutoa mistari ya kufa mtu na uongo ndio ulikuwa unashika nafasi kubwa sana, siku hizi nijiuavyo mimi hata kama huna pesa lakini unaweza kumpata demu yoyote yule umtakaye na unagonga kiulaini, cha msingi hapa ni kuwa na uwezo wa kujiamini unapokuwa unaongea na mwanamke, epuka kujiongelea au kujipa misifa isiyo na maan, unachotakiwa wewe ni kumsifia msichana hasa kile kitu ambacho kimekuvutia toka kwake, hakuna jambo zuri wanapenda dada zetu kama kumwagiwa misifa, pia kumbuka kuwa msafi na mtanashati pindi unapokuwa karibu na huyo demu, mbinu zipo nyingi na inategemeana na mazingira mliyopoWasaalam wakuu...nimeamini hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama kutongoza..yaani haina uzoefu wala nini...kuna mrimbwende mmoja amefanikiwa kuuteka moyo wangu lakini dah!..jinsi ya kumuanza inakuwa ngumu cuz sina mazoea nae..na hata nikijipanga mnyamwezi nimtemee madini..najikuta nanyong'onyea nikimuona na nashindwa kumweleza..sijui ndio udomozege unanirudia...yaani kidume mzima namwogopa mtoto wa kike...?..kweli kutongoza noma.
Umeona ehh!! really, I don't even hide my love for u like this coz ni kama the heart will explode if i keep t in!!Utakua domo zege..........
We si ulisema hujawahi kutongoza wewe..??!!! haya umeyatoa wapi..??
sister Heaven on earth,
kumtokea binti unajua nako kunahitaji moyo wa chuma kwa baadhi ya watu!
na hata ile stage ya kujenga mazoea nako ni issue!!
na hii si kwa men tu, mabinti nao huhangaika mpaka kutumiana wao kwa wao!
Anza kumpa hela kila ukikutana nae mpe hela, muombe na no ya simu uwe unamtumia kwa mpesa, kutongoza huwezi hata kutoa pesa ushindwe!
Yahaya wa Jide ndo hii mbinuKwani siku hizi kuna habari za kutongoza kama enzi zile ?. Ninachojua mimi kutongoza siku hizi ni inshu nyepesi sana sio kama enzi nzetu unajipanga kutoa mistari ya kufa mtu na uongo ndio ulikuwa unashika nafasi kubwa sana, siku hizi nijiuavyo mimi hata kama huna pesa lakini unaweza kumpata demu yoyote yule umtakaye na unagonga kiulaini, cha msingi hapa ni kuwa na uwezo wa kujiamini unapokuwa unaongea na mwanamke, epuka kujiongelea au kujipa misifa isiyo na maan, unachotakiwa wewe ni kumsifia msichana hasa kile kitu ambacho kimekuvutia toka kwake, hakuna jambo zuri wanapenda dada zetu kama kumwagiwa misifa, pia kumbuka kuwa msafi na mtanashati pindi unapokuwa karibu na huyo demu, mbinu zipo nyingi na inategemeana na mazingira mliyopo
I love her very much..Unampenda au umemtamani mkuu? U don't know her deep down her soul! How's the hell you going to fall in love very fast! U just got a crush on her.
Mkonyeze konyeee,halafu muangalie machoni kwa huba sio chini ya dk 5 machoni mwake hata akigeuza macho wewe yafuate tu.....,halafu umtumie na kumpelekea maua(rose)
LMAO....ha ha ha teh
Haaaa haaa kumbe wewe ni kidume........ sasa hiyo Avator mbona mtihani sana shekhe....!!
swtlo Kaizer hebu nikumbushe hivi siku ulipontongoza ilikuwaje tena??
lkn uongo mbaya kutongozwa ni raha sana kwa enzi zile tulizokua sisi.
teh teh. yah ni very handsome like my Avatarnimmeipenda sana hiyo picha!
by the way, kwani aavatar ndo inatambulisha mtu?
ina maana wewe avatar yako inatuashiria wewe ni nanii!!!>>??
ohh sorry!
Ila inarahisisha mambo, kuna msemo unasema , penye uzio penyeza rupiaUtasababisha jamaa awe buzi la kuchunwa maisha yake ,yaani waanawake wengine mnazamisha ,kuzungumza nae hajaweza atakwenda na mihela tu .hela hainunui mapenzi !