KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,771
- 39,538
- Thread starter
- #21
Umesomeka mkuu...ngoja nimwambie tu kama noma na iwe noma..Mbona digital imerahisisha sana mkuu kwa nin unaogopa ....wakeup you man....imenikumbusha ile story jamaa anaogopa kumtokea demu akabidi aende kwa mganga wa kienyeji na kupewa dawa na hapo hapo kamfuata yule demu na kufanikiiwa kumpata aliporudi kwa mganga kumshukuru mganga kamwambia ile haikua dawa wala nini yalikua ni majivu nilikupa ....kwaio mkuu kua na ujasiri WA kumfuata kama vile umepewa dawa na mganga.