Dah!..kweli kutongoza habari nyingine..

Dah!..kweli kutongoza habari nyingine..

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
19,771
Reaction score
39,538
Wasaalam wakuu,

Nimeamini hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama kutongoza,yaani haina uzoefu wala nini.

Kuna mrimbwende mmoja amefanikiwa kuuteka moyo wangu lakini dah!..jinsi ya kumuanza inakuwa ngumu kwasababu sina mazoea nae.

Na hata nikijipanga mnyamwezi nimtemee madini najikuta nanyong'onyea nikimuona na nashindwa kumweleza.

Sijui ndio udomozege unanirudia...yaani kidume mzima namwogopa mtoto wa kike...?..kweli kutongoza noma.
 
Mkonyeze konyeee,halafu muangalie machoni kwa huba sio chini ya dk 5 machoni mwake hata akigeuza macho wewe yafuate tu.....,halafu umtumie na kumpelekea maua(rose)
LMAO....ha ha ha teh
 
Wasaalam wakuu...nimeamini hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama kutongoza..yaani haina uzoefu wala nini...kuna mrimbwende mmoja amefanikiwa kuuteka moyo wangu lakini dah!..jinsi ya kumuanza inakuwa ngumu cuz sina mazoea nae..na hata nikijipanga mnyamwezi nimtemee madini..najikuta nanyong'onyea nikimuona na nashindwa kumweleza..sijui ndio udomozege unanirudia...yaani kidume mzima namwogopa mtoto wa kike...?..kweli kutongoza noma.

Mkuu,
Siku hizi njia za utongozaji zimekua rahisi sana, kwanza mademu nao wamekua rahisi pia. Kama mnaonanaga na huyo demu we ukimuona mpigishe pigishe story za hapa na pale.
 
Mtu ambaye anahangaika kujipanga kutongoza siku hizi sijui nimueleweje, siku kazzi rahisi tu kama kutungua embe mtini, usilembe mwandiko atajiona mzuri sana, ukishindwa kumtamkia laivu mwanZishie tuvisa tu afu tupa ndoano
 
Mkonyeze konyeee,halafu muangalie machoni kwa huba sio chini ya dk 5 machoni mwake hata akigeuza macho wewe yafuate tu.....,halafu umtumie na kumpelekea maua(rose)
LMAO....ha ha ha teh

Duu ngoja nikaijaribu hii, inaonekana nzuri maana kuna mtoto wa ukweli niko nae kwa ofc nimemkubali ila nashindwa nianzeje!!!
 
Mbona digital imerahisisha sana mkuu kwa nin unaogopa ....wakeup you man....imenikumbusha ile story jamaa anaogopa kumtokea demu akabidi aende kwa mganga wa kienyeji na kupewa dawa na hapo hapo kamfuata yule demu na kufanikiiwa kumpata aliporudi kwa mganga kumshukuru mganga kamwambia ile haikua dawa wala nini yalikua ni majivu nilikupa ....kwaio mkuu kua na ujasiri WA kumfuata kama vile umepewa dawa na mganga.
 
Akikuona unamzimia sana atakusumbua mno. Jifanye nawe huna time naye lakini onyesha unamjali.
 
Wasaalam wakuu...nimeamini hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama kutongoza..yaani haina uzoefu wala nini...kuna mrimbwende mmoja amefanikiwa kuuteka moyo wangu lakini dah!..jinsi ya kumuanza inakuwa ngumu cuz sina mazoea nae..na hata nikijipanga mnyamwezi nimtemee madini..najikuta nanyong'onyea nikimuona na nashindwa kumweleza..sijui ndio udomozege unanirudia...yaani kidume mzima namwogopa mtoto wa kike...?..kweli kutongoza noma.

mr KikulachoChako,

naomba nikupe ushauri wa bure!

katika suala la kumtaka/kumtongoza mtoto wa kike,

dont ever take the issue serious, utaishia kuwa na mdomo mzito!

jaribu kuwa na kama ka utani fulani hivi kila unapomuona, be charmful, jenga mazoea kidogo,

then mwambie kama kiutani utani fulani hivi kama siku mbili tatu.

baada ya hapo ndo uanze kuongeza userious sasa, no more jokes!

... sasa utamskia, 'ooh, kumbe ulikuwa serious, mi nilijua unatania'!

kazania hapo brother!
 
Last edited by a moderator:

..shukrani mkuu..ngoja ni test hii style inaweza ika work out.
 
Last edited by a moderator:
Mkonyeze konyeee,halafu muangalie machoni kwa huba sio chini ya dk 5 machoni mwake hata akigeuza macho wewe yafuate tu.....,halafu umtumie na kumpelekea maua(rose)
LMAO....ha ha ha teh

hahahaaa!!!

aisee umenikumbusha mbali sana kipindi changu cha foolish age!!

siku hiyo nilisema ngoja nitongoze kwa vitendo!!

binti wa watu masikini alihangaika mbele za watu utafikiri anakabwa shingo!

kila anapogeuka anakuta ninae tu na mimacho yangu!!!!!!!

mbona alikuja wmenyewe bila kuitwa!!!

namba yangu akaichukua mwenyewe bila kusita!

wala hata mnyamwezi sikuhangaika kusema mie!
 
Du ingekuwa ndo enzi zetu we usingeoa.
Shule ukimsemesha msichana neno asilolielewa anakupeleka kwa Mwalimu Mkuu na Kengele unagongewa mbele ya wazazi.
 
Mkonyeze konyeee,halafu muangalie machoni kwa huba sio chini ya dk 5 machoni mwake hata akigeuza macho wewe yafuate tu.....,halafu umtumie na kumpelekea maua(rose)
LMAO....ha ha ha teh
Mkuu nimemkonyeza hadi macho yanauma lakini bado ngoma ngumu...
 
Back
Top Bottom