Dah! Kilichonikuta mwenzenu

Dah! Kilichonikuta mwenzenu

Ukome mnajifanyaga vidume kwa mahouse girl hivi kwa nini hamna huruma nyie viumbe mtu yupo pale kwa kusaidia kazi za nyumbani
Kumekuchaaaaaa swalamaaaa?
 
Siku moja nimetoka zangu tizi njiani kabla ya kufika sehemu yenye barabara pacha kuna daraja ukilivuka mbele hatua 5 ndio njia 4 yaani barabara kuna inayonyoosha kuna inaingia kushoto na kuna inaingia kulia,sasa nakumbuka katikati ya barabara inayoingia kulia na baada ya kuvuka daraja nilikuta mwanaume (kijana kama wa miaka 14 -17amekalia limfuko.

Yule dogo alinisalimia na mimi nikaitika ile kama naanza kumpita hivi akaniambia "samahani kaka naomba unitwike huu mzigo"mimi nikageuka na yeye akasimama na kuinama kama anaubeba na mimi nikainama kumsaidia ile kuubeb na kwa kweli ilikuwa kitu kizito kiasi kwamba nilijikuta nimeguna nikamuuliza "mbona mzigo mzito sana huu umetoka nao wapi na unapeleka hadi wapi?yeye aliishia kusema asante nashukuru.mi nikamwambia utafikisha huo mzigo? Hakunijibu kitu akawa ndo anapiga hatua kama anaenda na mimi nikageukia upande wangu naanza kwenda.

Ile nimepiga hatua mbili bado nikaw najiuliza kimoyomoyo 'huyu dogo huu mzigo kweli huyo aliembebesha huko atakuwa ana roho mbaya sana mzigo mzito kiasi kile anambebesha mtoto?basi wakati najiuliza maswali nikageuza shingo nimwangalie,la hau laa sikuamini mamcho yangu pamoja na eneo lile kuwa wazi sikuambulia kumwóna narudi nyuma kama hatua 3 hivi kutizama vizuri sikumwona nimeenda kuchungulia adi kule darajani labda ameend kutumbukia huko sikuambulia kitu zaidi ya mimi kujisikia kutoka jasho na hofu huku woga umenitanda na miguu kukosa nguvu.
Nilisali sala pale pale huku nakemia na kuondoka nafika nyumbani sielewi ingekuwaje.
Basi mpaka leo nikipita lile eneo hata kama niko na gari bado napatwa na woga sana.
Onyo:kama ukikutana na mtu mazingira ambayo hayaeleweki hata akikusemesha plies usijisumbue kumjibu wee pita tuu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Umeingia chakike...ewaaaa
Chakike...umeingingia chakike....Lazima Uchuchumae..

Poyeeeeeee
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
ndo apite na khanga moja ndembendembe wakati nmekaa sebuleni?..
Akipita na kanga moja muite, muulize kwa nini anatoka nje uchi, mpige biti la nguvu, hatarudia nakuambia. The problem with us men, huwa tunapenda kubariki upumbavu, hasa unaohusisha mambo ya ngono, tupo so weak.

Ila mtoto akitoka chumbani awe amevaa vizuri, kama baba au mama unaruhusu vipi binti aje sebuleni na kanga moja, hudhani kama unampa uhuru uliopitiliza?
 
WANAUME TUACHE HIZI MAMBO:

Nilimwacha mke wangu akiwa na ujauzito mdogo na kwenda zangu masomoni kwa muda wa miezi kadhaa nje ya nchi.

Lakini kabla ya kuondoka tulikubaliana tumtafute binti mmoja wa kazi ili wasaidiane pale nyumbani hasa ukizingatia hali yake kwa muda huo nikiwa sipo.

Akapiga simu kijijini kwa rafiki yake ambako mie sikutaka sana kufuatilia na tukabahatika kumpata dada mmoja aliyemaliza shule ya kata na kupata matokeo mabovu na kuona atusaidie kwa makubaliano ya kumwendeleza kimasomo.

Alikuwa binti mchafu mchafu na wa kawaida sana kiasi cha kuona hatakuwa na madhara yoyote kwangu wa kwa wadogo zangu pia wa kiume ambao wako chuoni na huja mara kwa mara kunitembelea.

Nikaondoka na kwenda masomoni na kwa bahati nzuri nikapewa offer ya kukaa mwaka mmoja na nusu.

Siku narudi mke wangu alikuwa kasafiri kwenda kijijini hivyo akaja mdogo wangu Salome akanibeba na kunipeleka nyumbani kisha akarudi zake hostel.

Nilionana na mgeni mmoja pale ndani ambaye akaanza kuumiza akili yangu, ikanibidi nimuulize kuwa yeye ni nani?

Mama yangu, mama yangu!!! kumbe bwana ni yule mtoto namaanisha binti wa kazi kavaa pensi yake, kapita saloon, shape ile na usafi na mwili wake ukaanza kunipa maswali.

Nikajiuliza kuwa imekuaje kabadilika haraka vile? Lakini nikapiga moyo konde na kusema hebu niache ujinga na tamaa, kwanza mke wangu mzuri zaidi.

Usiku ule nikawahi kulala na asubuhi nikawahi zangu pale posta kuna kampuni moja niliagizia mizigo yangu sasa nikataka kuichukua kisha kuipeleka nyumbani na baada ya hapo nikaelekea kupata moja baridi moja moto mida kama ya saa kumi za jioni.

Usiku baada ya kurudi nilimwangalia Mayasa (yule dada wa kazi) kwa ukaribu zaidi nikaona no way ngoja nimwage radhi na kumpa ukweli.

Binti akakataa na kusema mke wangu ni zaidi ya dada kwake na kamfanyia makubwa hivyo hata taka nifanye lolote zaidi ya kuniheshimu kama kaka.

Juhudi za kumbembeleza hazikuambulia chochote zaidi ya mimi kwenda kulala.

Siku ya pili sikutoka ndani na nikaanza kujilaumu kwa nini jana nilifikia uamuzi ule kabla ya kuamua kutoka nje na kwenda kutembea maana alipita pale sebuleni kavaa kanga moja na anaelekea chumbani akiwa katoka kuoga nikaona naweza pata kesi.

Jioni ya siku ile mashetani ya KICHAGA yakanipanda na kweli nikafanikiwa kutembea na Mayasa ingawa alionekana kuhuzunishwa na uamuzi wangu ila akawa hana cha kufanya zaidi ya kusema kaka nakuambia kwa hili utajuta.

Mimi binafsi maneno yale hayakunitisha zaidi ya kujiona mimi ni mjanja wa wajanja mzee wa kutoshindwa.

Nikakaa kama siku nne hatuongei, kilichonifanya niongee nae ni baada ya nguo zangu za ndani nilizozianika bafuni kwangu kupotea na nilipomuuliza mwanzo hakujibu ila baada ya kukumbuka hatukuongea nae tangu siku ya lile tukio jasho likanianza.

Nikapekua chumbani mwake nakukuta nguo yangu moja ya ndani ipo kwenye begi lake kaifunga na kitambaa chekundu na kuna nywele ndani.

Nikaanza kuogopa kwani jana yake asubuhi nilifanya usafi wa maeneo yangu nyeti na sikusafisha bafu kwani nilikuwa nawahi apointimenti mjini.

Nikamwita pale ndani na akasema ni kweli alichukua yeye na zile nyingine, nikauliza kwa nini kaweka kwenye kitambaa chekundu na nywele katikati?

Akadai babu yake alimkataza asifanye mapenzi na mtu yoyote mpaka awe amemlipia mahari na kufunga naye harusi au la sivyo moto utawaka.

Sasa ameweka wapi zile nyingine? Akadai kashazituma kwa babu yake huko kijijini kwao.

Nikaondoka pale haraka nusura nipande gari nikiwa na taulo kama yeye hakunikumbusha kwa kusema mbona wataka kuondoka na haujavaa suruali?

Baada ya kubadilisha nguo niliwasha gari mpaka bar moja na kupata bia na kisha kumuuliza mke wangu kuwa hausi geli huyu anatokea wapi vile? Akanijibu ni Sumbawanga....... Kwani vipi baba Shamsa?

Nikasema kwa kufoka hawezi kuwa na uchawi toka huko kwao? Maana analea mtoto wetu kumbuka?

Akasema hakuna kitu, lile jina la sumbawanga tu likanifanya niiache ile pombe na kuanza kufikiria nini kitafanyika kuzichukua zile boxer zangu kwa babu yake.

Nikarudi nyumbani kiupole na kumwomba anisamehe akadai kuwa anamsubiri dada yake yaani mke wangu arudi na kisha ampe ukweli juu ya lile ili asilaumiwe kwa litakalonitokea.

Mwanaume nikaanza kuona kama ni biti basi limenikaa na sasa issue ya wife tena?????? Nikamwambia dada usitake nikufunge sasa hivi nipe vitu vyangu.

Kwa upole akasema nitaomba utufunge mimi na babu maana na wewe tayari uko kifungoni bila ya kujua ni sekunde tu uanze kuipata fresh yako......

Yale maneno yaliniingia na nikaanza kuona kama nimeshakuwa msukule nikaingia ndani na kupitiliza chooni ambako nilikaa dakika zaidi ya kumi hakuna kitokacho nikahisi babu kashaanza kazi yake.

Siku ya pili mke wangu akawa karudi na wote tukawa tumefurahia ujio wake na kwa kuwa hatukuwa tumeonana muda mrefu tukatoka out familia nzima.

Kila muda nilionekana kuwa mkimya na mwenye mawazo tofauti na nilovyo na kuna kipindi nilitamani kumwambia mke wangu lakini nikashindwa.

Siku ya pili dada akaniambia kuwa kaongea na babu yake kasema nimwambie nina mpango gani naye mayasa au aendelee na taratibu zake.

Sikuwa na jinsi nikampa laki tano baada ya wiki mayasa akanipa bahasha ikiwa na zile hela zangu na zimefungwa na hirizi na maneno ndani kuwa hizo hela zinaweza kufanya nini kwa maisha ya sasa?

Nikatafuta sehemu na kumfungulia fremu na kumpa biashara ya vipodozi na saluni ndio baada ya hapo akahamia huko kwa siri na mke wangu hakujua.

Baada ya kukaaza zaidi ya mwaka na miezi kadhaa sasa amani yangu na familia imerudi kwani sina vitisho tena.

Mbaya zaidi nimekuja kumgundua hakuwa na ushirikina wowote zaidi ya kunipa presha nimekoma na sitaki kuwasikia mabeki tatu tena.

Kweli nilimwona mchafumchafu kumbe kichwani zipo.....duh

IMG_5067.jpg
 
1).kama hakuwa na bikra badi wewe ni mjinga kinoma.

2).kama alikuwa na bikra hapo sawa unakubali tu umepigwa kwa akili kubwa mno.
 
Mleta mada sijaelewa kitu kimoja uyo beki 3 umesema babu alimwambia asikutane na mwanaume yeyote, unataka kuniambia wewe ujamtoa bikra sasa iweje uanze kupagawa ivyo wakat huko kijijini aliyemtoa bikra anakula Bata, kachai haka kanaonekana wala akukuiva
 
Wee boya sana kwani wewe waganga huwajui?

Boya weee! Ungeenda na wewe kwa sangoma arudiashe chupi kisangoma. Hala ummbeto kisawasawa hamu iishe na umuonyesho manjonjo ya kichawi zaidi mfano mwambie mie siyo mtu ni simba dadako yaani mkeo hajui.
Geuka simba kweli af rudi kawaida.

Mwambie umenitisha na mie nafanya kweli tuone km itaolewa na utazaa na hapa kwangu hutoki nakutom. Af nakuweka store km mdoli.
Wewe ni babu yako kafanya na mie nafanya mwenyewe kwenda nje nilienda kiuchawi nilikuwa hapahapa. Ukitaka njoo tuungane kwenye chama la kiuchawi. Napeleka jina lako kundini. Juu yako sasa uje au uache lkn tutakutumia.
Nilikuwa natafuta pa kuanzia muda mrefu sana km hukuniona wakt nakuja kulala hapa uchawi wako ni mdogo sana.
 
WANAUME TUACHE HIZI MAMBO:

Nilimwacha mke wangu akiwa na ujauzito mdogo na kwenda zangu masomoni kwa muda wa miezi kadhaa nje ya nchi.

Lakini kabla ya kuondoka tulikubaliana tumtafute binti mmoja wa kazi ili wasaidiane pale nyumbani hasa ukizingatia hali yake kwa muda huo nikiwa sipo.

Akapiga simu kijijini kwa rafiki yake ambako mie sikutaka sana kufuatilia na tukabahatika kumpata dada mmoja aliyemaliza shule ya kata na kupata matokeo mabovu na kuona atusaidie kwa makubaliano ya kumwendeleza kimasomo.

Alikuwa binti mchafu mchafu na wa kawaida sana kiasi cha kuona hatakuwa na madhara yoyote kwangu wa kwa wadogo zangu pia wa kiume ambao wako chuoni na huja mara kwa mara kunitembelea.

Nikaondoka na kwenda masomoni na kwa bahati nzuri nikapewa offer ya kukaa mwaka mmoja na nusu.

Siku narudi mke wangu alikuwa kasafiri kwenda kijijini hivyo akaja mdogo wangu Salome akanibeba na kunipeleka nyumbani kisha akarudi zake hostel.

Nilionana na mgeni mmoja pale ndani ambaye akaanza kuumiza akili yangu, ikanibidi nimuulize kuwa yeye ni nani?

Mama yangu, mama yangu!!! kumbe bwana ni yule mtoto namaanisha binti wa kazi kavaa pensi yake, kapita saloon, shape ile na usafi na mwili wake ukaanza kunipa maswali.

Nikajiuliza kuwa imekuaje kabadilika haraka vile? Lakini nikapiga moyo konde na kusema hebu niache ujinga na tamaa, kwanza mke wangu mzuri zaidi.

Usiku ule nikawahi kulala na asubuhi nikawahi zangu pale posta kuna kampuni moja niliagizia mizigo yangu sasa nikataka kuichukua kisha kuipeleka nyumbani na baada ya hapo nikaelekea kupata moja baridi moja moto mida kama ya saa kumi za jioni.

Usiku baada ya kurudi nilimwangalia Mayasa (yule dada wa kazi) kwa ukaribu zaidi nikaona no way ngoja nimwage radhi na kumpa ukweli.

Binti akakataa na kusema mke wangu ni zaidi ya dada kwake na kamfanyia makubwa hivyo hata taka nifanye lolote zaidi ya kuniheshimu kama kaka.

Juhudi za kumbembeleza hazikuambulia chochote zaidi ya mimi kwenda kulala.

Siku ya pili sikutoka ndani na nikaanza kujilaumu kwa nini jana nilifikia uamuzi ule kabla ya kuamua kutoka nje na kwenda kutembea maana alipita pale sebuleni kavaa kanga moja na anaelekea chumbani akiwa katoka kuoga nikaona naweza pata kesi.

Jioni ya siku ile mashetani ya KICHAGA yakanipanda na kweli nikafanikiwa kutembea na Mayasa ingawa alionekana kuhuzunishwa na uamuzi wangu ila akawa hana cha kufanya zaidi ya kusema kaka nakuambia kwa hili utajuta.

Mimi binafsi maneno yale hayakunitisha zaidi ya kujiona mimi ni mjanja wa wajanja mzee wa kutoshindwa.

Nikakaa kama siku nne hatuongei, kilichonifanya niongee nae ni baada ya nguo zangu za ndani nilizozianika bafuni kwangu kupotea na nilipomuuliza mwanzo hakujibu ila baada ya kukumbuka hatukuongea nae tangu siku ya lile tukio jasho likanianza.

Nikapekua chumbani mwake nakukuta nguo yangu moja ya ndani ipo kwenye begi lake kaifunga na kitambaa chekundu na kuna nywele ndani.

Nikaanza kuogopa kwani jana yake asubuhi nilifanya usafi wa maeneo yangu nyeti na sikusafisha bafu kwani nilikuwa nawahi apointimenti mjini.

Nikamwita pale ndani na akasema ni kweli alichukua yeye na zile nyingine, nikauliza kwa nini kaweka kwenye kitambaa chekundu na nywele katikati?

Akadai babu yake alimkataza asifanye mapenzi na mtu yoyote mpaka awe amemlipia mahari na kufunga naye harusi au la sivyo moto utawaka.

Sasa ameweka wapi zile nyingine? Akadai kashazituma kwa babu yake huko kijijini kwao.

Nikaondoka pale haraka nusura nipande gari nikiwa na taulo kama yeye hakunikumbusha kwa kusema mbona wataka kuondoka na haujavaa suruali?

Baada ya kubadilisha nguo niliwasha gari mpaka bar moja na kupata bia na kisha kumuuliza mke wangu kuwa hausi geli huyu anatokea wapi vile? Akanijibu ni Sumbawanga....... Kwani vipi baba Shamsa?

Nikasema kwa kufoka hawezi kuwa na uchawi toka huko kwao? Maana analea mtoto wetu kumbuka?

Akasema hakuna kitu, lile jina la sumbawanga tu likanifanya niiache ile pombe na kuanza kufikiria nini kitafanyika kuzichukua zile boxer zangu kwa babu yake.

Nikarudi nyumbani kiupole na kumwomba anisamehe akadai kuwa anamsubiri dada yake yaani mke wangu arudi na kisha ampe ukweli juu ya lile ili asilaumiwe kwa litakalonitokea.

Mwanaume nikaanza kuona kama ni biti basi limenikaa na sasa issue ya wife tena?????? Nikamwambia dada usitake nikufunge sasa hivi nipe vitu vyangu.

Kwa upole akasema nitaomba utufunge mimi na babu maana na wewe tayari uko kifungoni bila ya kujua ni sekunde tu uanze kuipata fresh yako......

Yale maneno yaliniingia na nikaanza kuona kama nimeshakuwa msukule nikaingia ndani na kupitiliza chooni ambako nilikaa dakika zaidi ya kumi hakuna kitokacho nikahisi babu kashaanza kazi yake.

Siku ya pili mke wangu akawa karudi na wote tukawa tumefurahia ujio wake na kwa kuwa hatukuwa tumeonana muda mrefu tukatoka out familia nzima.

Kila muda nilionekana kuwa mkimya na mwenye mawazo tofauti na nilovyo na kuna kipindi nilitamani kumwambia mke wangu lakini nikashindwa.

Siku ya pili dada akaniambia kuwa kaongea na babu yake kasema nimwambie nina mpango gani naye mayasa au aendelee na taratibu zake.

Sikuwa na jinsi nikampa laki tano baada ya wiki mayasa akanipa bahasha ikiwa na zile hela zangu na zimefungwa na hirizi na maneno ndani kuwa hizo hela zinaweza kufanya nini kwa maisha ya sasa?

Nikatafuta sehemu na kumfungulia fremu na kumpa biashara ya vipodozi na saluni ndio baada ya hapo akahamia huko kwa siri na mke wangu hakujua.

Baada ya kukaaza zaidi ya mwaka na miezi kadhaa sasa amani yangu na familia imerudi kwani sina vitisho tena.

Mbaya zaidi nimekuja kumgundua hakuwa na ushirikina wowote zaidi ya kunipa presha nimekoma na sitaki kuwasikia mabeki tatu tena.

Kweli nilimwona mchafumchafu kumbe kichwani zipo.....duh
[emoji23][emoji23][emoji23]kweli watu wenye tabia hizi wajifunze hapa
 
Back
Top Bottom