Dah!Kama ni wewe ungefanyeje?

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,915
709
[h=6]Ungekuwa wewe ungefanyeje? Kutokana na ukware wako unamuaga mkeo kuwa hutarudi nyumbani mana umetingwa na kazi ofisini kumbe sio. Jioni inafika unaendagesti na kukodi chumba, kisha unamuagiza mhudumu akutafutie mwanamke wa kulala naye. Mhudumu anaenda kukutafutia mwanamke ila kwa bahati mbaya wakati anamleta kwako umeme unakatika, mwanamke anaingia chumbani kwako na ghafla umeme unarudi na kumuangalia unagundua kuwa ni mke wako! Ungefanyaje kama ungekuwa ww?[/h]
 
[h=6]Jamaa karudi home usiku wa manane moja kwa moja akazama chumbani,alipoingia akaenda kufunua blanket kidogo akaona miguu minne kwa hasira akenda jikoni akaja na rungu nakuiponda kisha akaelekea sebuleni kutahamaki akamkuta mkewe amelala akambwambia mme wangu wazazi wako wamekuja kwahiyo nimeamua kuwaacha walale chumbani kwetu!!![/h]
 
[h=6]Ungekuwa wewe ungefanyeje? Kutokana na ukware wako unamuaga mkeo kuwa hutarudi nyumbani mana umetingwa na kazi ofisini kumbe sio. Jioni inafika unaendagesti na kukodi chumba, kisha unamuagiza mhudumu akutafutie mwanamke wa kulala naye. Mhudumu anaenda kukutafutia mwanamke ila kwa bahati mbaya wakati anamleta kwako umeme unakatika, mwanamke anaingia chumbani kwako na ghafla umeme unarudi na kumuangalia unagundua kuwa ni mke wako! Ungefanyaje kama ungekuwa ww?[/h]

Nisinge mwacha aende lazima nimchape kidogo.
 
hapo nadhani kitakacho fuata ni ngumi tu, wote wakware.
 
Ungekuwa wewe ungefanyeje? Kutokana na ukware wako unamuaga mkeo kuwa hutarudi nyumbani mana umetingwa na kazi ofisini kumbe sio. Jioni inafika unaendagesti na kukodi chumba, kisha unamuagiza mhudumu akutafutie mwanamke wa kulala naye. Mhudumu anaenda kukutafutia mwanamke ila kwa bahati mbaya wakati anamleta kwako umeme unakatika, mwanamke anaingia chumbani kwako na ghafla umeme unarudi na kumuangalia unagundua kuwa ni mke wako! Ungefanyaje kama ungekuwa ww?
Pangechimbika,ningemwambia kwamba ni siku nyingi nackia unajiuza nilitaka nithibitishe kama ni kweli,baada ya hapo namwambia cku nyingine awe ananiaga kuwa anaenda kujiuza,ntafanya hivyo ili kumzuga kwani na mimi ntakuwa nimefanya kosa la ku-mcheat
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom