Dah inauma sana. . . . .


M

MagicM

Member
Joined
Sep 19, 2011
Messages
80
Likes
1
Points
0
M

MagicM

Member
Joined Sep 19, 2011
80 1 0
Mungu wetu atusaidie sana maana kifo ki karibu ye2

Ni vigumu kuamini lakini inatubidi kusadiki

Baada ya kusadiki ya kwamba tunapoteza watu muhimu na vijana zaidi tangu mwaka kuanza maana nkianza kukumbka kwa haraka ni vijana sita mpaka sasa wametutoka
1) Steven Kanumba 2) Mafisango 3) Daudi Mwangosi 4) Mariam Hamisi 5) Mlopero 6) Sharobaro
Na wengine nsiowafahamu lakini ww wawafaham yaweza kuwa ndugu, jamaa na marafiki

Jamani hawa wote walikuwa ni vijana na walikuwa na malengo yao makubwa kwa ajili yao na kwa taifa kwa ujumla. . . . . . . .

Dah inaniuma sana ila yote ni mapenzi ya Allah kilichobaki ni kuwaombea 2 wapumzike kwa Amani
 
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,153
Likes
1,594
Points
280
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,153 1,594 280
Ameen!
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,717
Likes
3,390
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,717 3,390 280
Kifo kipo na ndio njia pekee ya kuondoka ulimwenguni.

Eeh Moyo wangu hima,
Enenda mbinguni,
Ulimwenguni humu,
Hapana cha raha,

Chorus;
Mchungaji wetu Yesu
Achungapo kondoo
Ni kwenye raha kuu
Enenda mbinguni.
 
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,018
Likes
178
Points
160
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,018 178 160
Inatia huzuni sana jamani!
Hapa na kupitia clouds fm namsikiliza kinyozi aliyemnyoa jana Sharo kabla ya kukutwa na mauti na anaongea kwa machungu sana na hata hivyo anasema kwamba hata marehemu Kanumba ilikuwa hivyo hivyo na wote hawa walikuwa wateja wake.

Kwa kweli inasikitisha sana!
 
M

MagicM

Member
Joined
Sep 19, 2011
Messages
80
Likes
1
Points
0
M

MagicM

Member
Joined Sep 19, 2011
80 1 0
Kifo kipo na ndio njia pekee ya kuondoka ulimwenguni.

Eeh Moyo wangu hima,
Enenda mbinguni,
Ulimwenguni humu,
Hapana cha raha,

Chorus;
Mchungaji wetu Yesu
Achungapo kondoo
Ni kwenye raha kuu
Enenda mbinguni.
Ni kweli maana hata rose muhando aliimba nibebe nibebe nchukue mbingun mwako salama eeh lakini akiambiwa islael mtoa roho hy hapa anahitaji roho yako unafkiri atakubali ?
 

Forum statistics

Threads 1,250,533
Members 481,403
Posts 29,736,755