Dah! Huyu mtia nia ni muongo!

Dah! Huyu mtia nia ni muongo!

Jambo la kwanza alisema ataanza na elimu.
Hii alisema alpokuwa anatangaza nia arusha
 
Hata mimi nimemshangaa sana huyu mtoa mada kumuita EL muongo,sijui nani mkweli kwake ktk hao watia nia? Tena kwa usalama wa ccm ni bora wakampitisha EL,wakijichanganya tu wakamuacha ndo mwisho wa ccm na inaenda kuzikwa rasmi,asiyeamini asubiri kuamini,nani sasa wa kusimama kwa ccm? Membe? Membe ataligawa taifa vipande vipande,anataka TZ iungane na OIC ya waislamu na ndo ndoto zake kubwa,taifa lisilo na dini kuja kuingiziwa udini,itatugharimu sana.

Mkuu....mi sidhani kama tunahitaji kiongozi kwa ajili ya usalama wa ccm, bali kwa ajili ya mustakabali mzuri wa taifa letu...
 
anazungumzia ufufuaji wa viwandan morogoro wakati mfadhili wake mkuu rostam ndie alivinunua akageuza maghala huyo mwizi alitakiwa awe gerezani
 
hapana. nilimsikia ni miezi sita mkuu
Mkuu, Mzee23 yuko sahihi kabisa. Wakati anatangaza nia Arusha alisema tatizo la foleni Dar atalimaliza ndani ya miezi 12 lakini akiwa Dar amesema atalimaliza ndani ya miezi 6 tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, Mzee23 yuko sahihi kabisa. Wakati anatangaza nia Arusha alisema tatizo la foleni Dar atalimaliza ndani ya miezi 12 lakini akiwa Dar amesema atalimaliza ndani ya miezi 6 tu!!!
Dah! unaona sasa? kama network yake inazingua sasa hivi itakuwaje akishakaa pale ikulu?
 
Last edited by a moderator:
Washauri wake kina mzee Kingunge wamshauri jinsi ya kutoa ahadi na kumwaga sera za kutia nia, la sivyo anajiharibia. Ahadi nyingi sana na kila ahadi ni ya kwanza kwa kipaumbele. Hili ni tatizo. Wakati mwingine itakuwa bora jk kuliko itakavyokuwa kama ikitokea sintofahamu kuchanganya na goli la mkono kwa El kuingia ikulu
 
Mkuu, Mzee23 yuko sahihi kabisa. Wakati anatangaza nia Arusha alisema tatizo la foleni Dar atalimaliza ndani ya miezi 12 lakini akiwa Dar amesema atalimaliza ndani ya miezi 6 tu!!!

Network ya Lowassa haiaccess vizuri iko low
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom