Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,289
- 2,472
Bila kuuma uma ni Lowassa, nimemsikia hapa ITV muda si mrefu akikamilisha safari ya kutafuta wadhamini ambapo kavuna malaki ya wadhamini. Kilichonigutusha ni ahadi zake. Kwanza kazungumzia viwanda vya Moro na kusema vilikuwepo viwanda ila vimekufa, akasema akiwa rais jambo la kwanza ni kushughulikia ufufuaji wa viwanda vya Moro.
Mara tena akagusia wakulima na wafugaji na kusikitishwa jinsi wanavyopigana kama kuku. Akasema akiwa rais jambo la kwanza ni kushughulikia migogoro ya wakulima na wafugaji wa Moro.
Najiuliza, kaweka ahadi ngapi huko alikopita? Hivi kweli hawa Moro wa mwisho kero zao ndio zitakuwa za kwanza? Maana haijajulikana itaanza ya viwanda au wakulima na wafugaji.
Wandugu kazi ipo, kweli naona dalili za Lowassa kuikimbia CCM kwa kutopitishwa kama ahadi tu ndio inakuwa hivi. Naona mkanganyiko kati ya sera zake na ilani yao. Mnaomsapoti Lowassa mmeliwa