Dah! Huyu dogo ndie alietungua helicopter ya mlinzi wa tembo wetu

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
31849BDF00000578-3462541-Accused_Njile_Gunga_pictured_is_alleged_to_have_shot_the_bullet_-m-55_1456339281526.jpg


Njile Gunga 28

31849BE400000578-0-Gang_Gunga_28_appeared_alongside_eight_other_men_who_are_all_cha-a-4_1456337105643.jpg

Chama lao lote hili-

3184923600000578-0-image-a-3_1456334502511.jpg

Alieyuwawa "akitulindia" tembo Mr. Gower

30BBDCD500000578-3425454-The_Foreign_Office_has_confirmed_it_is_providing_support_to_the_-a-1_1454311804823.jpg
 
Nani aliyempa kazi ya kulinda hao tembo?
eti mkuu!, tunao vijana kibao waliopita JKT wanahangaika ajira....nahata hao waliopo makambini si wapewe tenda kulinda kila intake lazima waende kulinda.......(ndio maana ya Jeshi la kujenga Taifa)......Ni ishu ya ku link intelijensia ya Raia, polisi na usalama wa taifa kushea na vijana wa JKT.
Maana hawa majambakazi wanajulikana kuanzia hata serikali za mitaa na vituo vya usalama vya mitaani.
 
hilo jukumu la kulinda taifa ni letu binafsi wala haliwahusu hawa wàgeni may be wao waje kwa ajili ya utalii tu
 
hilo jukumu la kulinda taifa ni letu binafsi wala haliwahusu hawa wàgeni may be wao waje kwa ajili ya utalii tu
kweli kabisa, funny enough pilot ni accountant by professional asa combating criminals kajifunzia wapi jamani
 
Back
Top Bottom