Dah!Diamond balaa yani kaibuka na tuzo tatu kwa mpigo.Ni hiz za kill music awards.Kachukua ya mchezaji bora wa kiume wa mwaka,mtunzi bora na video bora ya mwaka.
Diamond yupo juu akifanya tena live show ya elfu hamsini kiingilio itajaa tena na tiketi hazitatosha.
Sidhani kwa sasa kama kuna mwimbaji mwingine wa aina yake anayevutia watu hivyo Tanzania.
Diamond yupo juu akifanya tena live show ya elfu hamsini kiingilio itajaa tena na tiketi hazitatosha.
Sidhani kwa sasa kama kuna mwimbaji mwingine wa aina yake anayevutia watu hivyo Tanzania.
Ni mtazamo tu,japo ni wazi kila jambo linawakati wake! Kipindi cha Mr Nice na nyimbo zake za chei chei nae alishika wabongo vizuri,so ingekuwa sahiv nadhani nae ht kiingilio cha laki angejaza ukumbi na zaidi...
Unajua kukata mauno katika video na kum2 kulimiliki jukwaa kikamilifu ni v2 viwili tofauti.TID ni mkali wa mauno na kushek but c mkali wa kumil jukwaa kama alivyo diamond.Wacheki wakali hawa wa jukwaa Michael Jackson,Rihana,Nick minaj then tel me ukiwapa hiv vijukwaa vya 6 X 6 patawatosha kwel