Dah bongo vs Ulaya

Surgical Blade

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
349
Reaction score
16
jamani wakuu, me huwa cjui nawaza kizembe et najiuliza, hv baadhi ya vitu kama _-pesa ma
T-pesa na ma airtym money,
zingekuwa ulaya, kwa hawa ma Hacker na ma cyber ingekuwaje?
 
Huko bongo je Wa Nigeria si ndio shughuli zao hata ulaya
 
jamani wakuu, me huwa cjui nawaza kizembe et najiuliza, hv baadhi ya vitu kama _-pesa ma
T-pesa na ma airtym money,
zingekuwa ulaya, kwa hawa ma Hacker na ma cyber ingekuwaje?

kaka si kama western union, payza, bitcoin na paypal? huko zipo pia sema majina tofauti
 
Waite waje bongo mpige hela kama unaona rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…