Dah, Bolingo zilizowahi nibamba

Namsikiliza Alain Kounkou "Andolo" bonge moja la Soukous.
 
Ndugu zangu naomba msaada nani alitunga wimbo wenye maneno haya

Mume wangu nimulevi ...ananuka pombe

mume wangu nimulevi... analewa pombe

kambelembele maama...kambelembele maama....

kambelembele mama, kambelembele mama
 
Kuna ile ilikuwa Ku........ma ina uma Ku.........ma ina uma Oooh aliimba Cjui Koffi ilikiwa ni mwendo wa kushika Yale maeneo hata km n ME kwa motion flan hv km unaumwa kweli
 
mayamaya maya mayango shetusi mokei mayamayango doke moke mayawayango mayamayanga nalingio maya eeh. ivi huu wimbo unaitwaje na ni wa nani? msaada tafadhali.
 

_ Ndya by Mpongo Love

Maria Tabola by Sam Mangwana

-Yondo Sister-Sexy yondo

From my childhood n`till now, sichoki kuzikililiza
 
Je, Kuna ukweli wowote kuwa Aurlus Mabele amekuwa Teja?
Siyo teja bana labda kama kaanza siku hizi lakini alikuwa kafulia na anaumwa miguu hawezi hata kutembea kwa muda mrefu sana.

Mimi ni miongoni mwa mashabiki wake wakubwa japo nasikitika hana taarifa kwenye social media.

Huyu jamaa mkosi ulianza kwa kudhulumiwa mgao wa faida ya bendi ya Loketo na mwanzilishi mwenzie wa bendi ya Loketo ambaye ni Dally Kimoko.

Mbaya zaidi akakimbiwa na mkewe huko Ufaransa hasa baada ya kudhulumiwa na kuanza kuumwa miguu na akakosa fedha za matibabu na huduma mbali mbali.

Kwa sasa amepona miguu na inasemekana ameanza harakati za kutaka kurudi kwenye game.

N.B: Chanzo changu ni watu na social networks naweza kurekebishwa pia.
 
Tafuta wimbo mwingine unaitwa Napika. Sikiliza uje unipe ripoti. Wa Mbilia
Mbilia pia ana Boyaye, phenomeno na yambanga nazikubali sana.
 
ahaaaa ulikuwa upo juu kama ulikuwa umemiliki radio ile ilikuwa inaitwa radio cassete sijui?ile radio kule kwetu moshi kijana alokuwa anaimiliki alikuwa anaonekana lulu kama kijana anaemiliki range now! alikuwa anawindwa balaa...
Teh! Tulikuwa na zile ziliitwa Lasonic zilikuja nadhani ni copy ya Panasonic ila hizi zikawa ni modern kidooogo na ilikuwa inapiga zaidi!!

Kanda za redio zaidi ya elfu mbili!! Mh! Ilitufanya tukawajua wanawake mapema aisee
 
Wakuu msaada tafadhali,

Nani alitunga wimbo wenye maneno haya

Mume wangu nimulevi ...ananuka pombe

mume wangu nimulevi... analewa pombe

kambelembele maama...kambelembele maama....

kambelembele mama, kambelembele mama
 
Asante kwa kunikumbusha enzi hizo haswa Soukoss star, Bokilo na Salmon Rama niliwapenda sana alipokuwa kundi la Loketo
Remy Sahlomon alimtegemea sana Dally Kimoko katika nyimbo zake..hakuwa mtu wa mashairi mengi sana ila Guitar 🎸 lilitawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…