Dah, Bolingo zilizowahi nibamba

Kipe Ya yo by JB Mpiana .le poisson a combien de parti!trois parti,le cite les,
 
Pile ou face-Prince Alan Makaba
Hii kitu ilisumbua sana enzi niko msingi hapo!
 

Asante kwa kunikumbusha enzi hizo haswa Soukoss star, Bokilo na Salmon Rama niliwapenda sana alipokuwa kundi la Loketo
 

Video ya Albam ya soukoss star waliirekodia USA na kilichofanya wanamuziki wengi wa Zaire kwenda France ilikuwa ni kumkimbia Mabout Seseko ambaye alikuwa anakasirika pindi alipokuwa anaimbwa vibaya na wasanii nchi yake
 
noblesse oblige by Koffi Olomide,papa plus - Koffi Olomide,adrada - Koffi Olomide,Sala noki -General Defao,kalai boeing wenge BCBP,Isambe -Kanda Bongo man na nyingine kibao enzi hizo muziki wa bolingo toka Zaire ulikuwa uko juu c mchezo

Koffi Olomide ndo nampenda sana katika nyombo zake haswa kuanzia albamu ya Okolo Lupemba, Force de frape, Effrakata, Danger de mort nakadhalika
 
Kala yi boing- wenge musica

evelina-- auluce mabele

Hidaya- pepe kale

Solola bienue- werason

Frere eduado- madilu

bilima - kanda bongoman

namuchana- kandabongomani

kokola- Tshalala mwana

titanic- jp mpiana

pentagone-wenge musica

jojo ng'onda -wenge musica

yaani hizo ni baadhi tu huwa zikipigwa achaaa tu
 
Jamani, mnaoweka muweke basi na clip zake ili tuzipate
Mwenye anayejua kidekule umeimbwa na nani na jina lake aniwekee

Hapa nashindwa kukuwekea hakuna option ninazo 2 1 unaitwa polo kina response na dandy,
 
Monica na Mario wa Kass Kass later akaja mzee mzima Lwambo lwanzo Makiadi na Mario
 

....

.....umetisha
 
Ila nyimbo za kofi olomide zilikuwa zinabamba sana
Na kuna wale wanamziki walikufaga kwa ajali ya ndege, hebu mikumbushe kundi lile lilikuwa linaitwaje manake nao walikuwa balaa

We unawasema wale wa timu ya taifa ya zambia chipolopolo
 

Umemsahau na jean pierre aliyepiga mami lolo, ni bonge la soukouss
 
Last edited by a moderator:
Jamani, mnaoweka muweke basi na clip zake ili tuzipate
Mwenye anayejua kidekule umeimbwa na nani na jina lake aniwekee
Kundi ni victoria eleyson ikiongoWa na king kester emeneya, kidekude ni mtindo wa kurap, hivyo ktk nyimbo zake nyingi hutumia hiyo kidekude, mfano wimbo wa Nzinzi ukichanganya!
 
One of the greatest rumba songs of 1970 was Maseke ya Meme...?
Maybe it was one of the greatest. But not the greatest. Kwa hapa nyumbani Maseke ya Meme haikuweza kufunika nyimbo kama Tambola na Mokili (Johnny Bokelo) au hata Bolingo ya Telephone (L'Orchestre Los Nickelos). Kama ulikuwa kijana enzi hizo nadhani unaweza kukubaliana na mimi. Hizo nyimbo zilitikisa haswa na zilikuwa moto kabla ya ujio wa wimbi la Trio Madjesi (Sosoliso) lililotesa hadi Franco ilibidi atumie mbinu za kuwamaliza.
 
mwenye uwezo wa kuattach hizo bolingo hapa jamii forum anisaidie, cmu yangu haina uwezo wa youtube. Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…