Dage's Salon (Kwa Daje) yateketea kwa moto

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Hii ni Salon iliyo Sinza Afrika Sana ambayo wamama/wadada wengi waliitumia nyakati za harusi au kujiremba.

Imeungua alfajiri ya leo na vitu karibia vyote vimeteketea kwa moto.

Maduka jirani pia yameteketea kwani moto ulikuwa mkubwa sana. Inaelekea kulikuwa na short ya umeme
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom