Dagaa wasio na mchanga kutoka ziwa victoria (dagaa wa nyasi)

Dagaa wasio na mchanga kutoka ziwa victoria (dagaa wa nyasi)

Mtumishitu

Member
Joined
May 2, 2022
Posts
86
Reaction score
139
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea lakini anasamehe na kututendea mema pale tunapo jishughurisha.

EMBU TUANGALIE VITU VYA KUZINGATIA KWENYE BIASHARA YA DAGAA KUPELEKA MKOANI KUTOKA MWANZA ZIWA VICTORIA.

1.
LESENI NDOGO YA KUSAFIRISHA DAGAA NDANI YA INCHI .Hii ni leseni ambayo upatikanaji wake ni rahisi kwa sababu ofsi zao zipo hapa KIRUMBA MWALONI MWANZA kwenye soko kuu la kimataifa la samaki na dagaa.Ambapo gharama yake kwa sasa ni shilingi elfu thelathini (Tsh 30,000/=).
Ukiwa na hiyo leseni unapeleka kila mkoa ndani ya Tanzania.

2. Kibali cha kusafirishia mzigo wako .hii document ni rahisi kuipata pia ndani ya dakika chache pia maana ofsi husika zipo hapa MWALONI KIRUMBA MWANZA Kwenye soko kuu la samaki na dagaa la kimataifa.(gharama ni ndogo pia ila inatozwa kulingana na mzigo wako ulivyo ukubwa).

3.Lipia ushuru wa mzigo wako unao usafirisha.kulipia ni rahisi pia maana wahusika wapo hapa hapa.

UKIWA NA HIVYO VITU KUFANYA BIASHARA YAKO NI RAHISI NA HAYUPO WA KUKUSUMBUA.
 
Gunia la debe kumi ,ni bei gani
Bei inabadilika kila muda inafuatana na kipindi na siku pia,endapo ziwani hakkuna upepo .kwa maana siku unahitaji unapiga simu ndio tunajuwa bei iliyopo muda huo.
Pia unaweza kujiunga group la whattsapp ambalo natoa bei kila siku.
Andika neno DAGAA whattsapp 0657886964.
Nadhani umenielewa.kama hujanipata uliza hapa,piga simu au jiunge whattsapp uliza huko.
Karibu
 
Back
Top Bottom