Dagaa wa Mwanza waliokaangwa

Dagaa wa Mwanza waliokaangwa

Hayaaa dagaa hao wa Mwanza wamekaangwa vizuri kwa viungo ili kukupa radha ya kueleweka kabisaaa[emoji108][emoji108][emoji108].Ni watamu sana na pia hawana mchanga wala uchungu.Na hakika ukiwaonja hutowaacha hata mara moja.

Wanapatikana kwa kipimo cha ndoo kubwa,ndoo ndogo na kisado.
Ndoo kubwa 54500
Ndoo ndogo 34500
Kisado 15500
Kilo 9500

Pia kwa wale wanaotaka za biashara kwa bei ya jumla kuanzia ndoo 3 pia zinapatikana.

Watu wa Dar usafiri ni bure kutoka mwanza na malipo ni baada ya kupokea mzigo wako.Mikoa mingine ukichukua kuanzia ndoo 3 tutakusafirishia kwa gharama zetu bila shida yoyote.
Njoo uchukue dagaa hizi ili ukajiajiri kwani zinalipa sana.

Ukihitaji kuweka oda yako tuwasiliane no.0653405342
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom