Dagaa wa kukaangwa wa mwanza

changwe

Senior Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
159
Reaction score
44
Pata dagaa wa kukaanga wa kawaida na wa viungo.Tunapatikana mwanza mikoani tunatuma.Maulizo 0759292980
Maandalizi ya kukaanga
 
Unawatoa utumbo lakini? maana usipowatoa utumbo wanakua wachungu
 
Dagaa sio wachungu we ulikutana na dagaa gani hao
 
Unawatoa utumbo lakini? maana usipowatoa utumbo wanakua wachungu
Dagaa huwa wachungu pale wanapokaa muda mrefu ila wakiwa fresh hawana uchungu kabisa hata wakiwa na utumbo
 
Hamna dagaa anaetolewa utumbo sijawahi mimi kuwaona kinachosababisha uchungu ni kukaa muda mrefu kama mdau hapo juu alivoeleza.karibuni sana
 
Kwa bei hiyo unafikiri Mnunuzi yeye atauza sh ngapi?
Inategemea na soko lako mkuu sababu wapo wanaofunga kwenye packet za elfu1 kwa debe unapata packet 80.Kwa maelewano zaidi mkuu namba yangu ipo juu tuwasiliane tu
 
hao dagaa ni watamu sana, ila shida kufika huku machakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…