VodaFasta Chickens!!wa Mwanza mchanga mtupu nani anataka. Halafu ukumbuke 'zamani' unayoizungumzia soko halikuwa kubwa. Sasa hivi watu wanavua na kuuza kila pembe ya nchi na hata nje ya nchi.
Kwa DRC sijui.
Halafu hao kuku wa elfu tano ni wepi kwanza?
Zamani kama miaka 20 iliyoipita dagaa wa aina zote
ikiwemo dagaa wa kigoma walikuwa ni chakula cha walalahoi
watu masikini kabisa,na bei yake ilikuwa chini mno
ilikuwa dagaa wanauzwa hawafiki hata robu ya bei ya kuku..
sasa dagaa wa kigoma wanauzwa kilo kuanzia 16000 na kuendelea
kilo moja hiyo....
yaani kuku wanauzwa mpaka elfu tano lakini dagaa wanaanzia elfu kumi na sita kilo moja
najiuliza ninikimetokea?
kuna soko la nje?
dagaa wamepungua ziwani?
idadi ya watu labda imeongezeka ndo sababu?
nini hasa kimetokea kufanya wapande bei sana dagaa wa kigoma?
cc Kaunga ....
rafiki unanichokoza......Demand imekuwa kubwa sana ukilinganisha na supply ya hao dagaa kutokana na kuongezeka kwa idadi ya walaji. Miaka ya nyuma baadhi ya Watanzania walikuwa wanaona dagaa ni mboga ya kimaskini lakini miaka ya hivi karibuni wengi wametokea kuwapenda na hivyo kuongezeka kwa walaji kwa kiwango cha juu sana. Sasa dagaa wale wapikwe na mawese kisha ugali wa mahindi uliochanganywa na unga wa muhogo. Unaweza kujitafuna vidole. Pia kuna dagaa wabichi toka huko huko Kigoma hawa nao ni watamu sana, wapikwe kwenye chungu kisha waungue kiasi mhhhhh! YUMMY!!!! Mie kinachonitia wasiwasi ni baadhi ya habari nilizosoma kwamba kutokana na pollution ya kutisha ziwa Tanganyika dagaa hawa watamu wanaweza kupotea miaka ijayo na kubaki kuwa history tu.
CC: Fixed Point
rafiki unanichekesha unavyoendelea kusisitiza bei ya dagaa wa kigoma ni kubwa kuliko ya kuku.......siku hizi dagaa wanakula wenye nazo
yaani hata kuku hawawafikii dagaa hawa wa kigoma
very strange kwa kweli
rafiki unanichokoza......
hilo sikubishii kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....Ushatekwa weye!!! Shurti kwa furushi la dagaa wa Kigoma na mawese... Chezeya utamu wake weye!!! 🙂🙂
Zamani kama miaka 20 iliyoipita dagaa wa aina zote
ikiwemo dagaa wa kigoma walikuwa ni chakula cha walalahoi
watu masikini kabisa,na bei yake ilikuwa chini mno
ilikuwa dagaa wanauzwa hawafiki hata robu ya bei ya kuku..
sasa dagaa wa kigoma wanauzwa kilo kuanzia 16000 na kuendelea
kilo moja hiyo....
yaani kuku wanauzwa mpaka elfu tano lakini dagaa wanaanzia elfu kumi na sita kilo moja
najiuliza ninikimetokea?
kuna soko la nje?
dagaa wamepungua ziwani?
idadi ya watu labda imeongezeka ndo sababu?
nini hasa kimetokea kufanya wapande bei sana dagaa wa kigoma?
cc Kaunga ....
hilo sikubishii kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....
ila nainjoije sasa!!!!!!!
ha haaa, usinijazie wageni nyumbani kwangu rafikiKwa raha zako rafiki, halafu uzuri wake ni kwamba idara ya kukaangiza pia unaiweza vizuri sana, hivyo wanatoka watamu utadhani wamekaangizwa ujiji lol!!!!
ha haaa, usinijazie wageni nyumbani kwangu rafiki
Zamani kama miaka 20 iliyoipita dagaa wa aina zote
ikiwemo dagaa wa kigoma walikuwa ni chakula cha walalahoi
watu masikini kabisa,na bei yake ilikuwa chini mno
ilikuwa dagaa wanauzwa hawafiki hata robu ya bei ya kuku..
sasa dagaa wa kigoma wanauzwa kilo kuanzia 16000 na kuendelea
kilo moja hiyo....
yaani kuku wanauzwa mpaka elfu tano lakini dagaa wanaanzia elfu kumi na sita kilo moja
najiuliza ninikimetokea?
kuna soko la nje?
dagaa wamepungua ziwani?
idadi ya watu labda imeongezeka ndo sababu?
nini hasa kimetokea kufanya wapande bei sana dagaa wa kigoma?
cc Kaunga ....
Siku hizi unaweza kupandisha bei ya kitu chochote ukiongea "in CAPITAL letters" na vyombo vya habari na "wataalamu" wa nyanja zinazoibuka kama vile tiba mbadala, etc. Fursa zinatengenezwa jamani, hazijileti.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Fafanua hapa
Ndodi kafanya nini?
rafiki unanichekesha unavyoendelea kusisitiza bei ya dagaa wa kigoma ni kubwa kuliko ya kuku.......
kwa familia ya watu wa5 kuku anaisha kwa mlo mmoja tu, ila kilo ya dagaa mnaweza kula milo zaidi ya minne....
umelizingatia hilo rafiki?
all in all nakubaliana nawe kabisa kuwa mfumuko wa bei kwenye dagaa wa kigoma inashangaza.
huwa naagiziaga dagaa toka kigoma ziwani kabisaaaaa....(eti sitaki kununua wa kwenye magunia kule kariakoo), kwa sasa naona nafilisika tu, maana bei ya dagaa ziwani ni kubwa kuliko wa kwenye magunia ya kariakoo, inatisha sana.