Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
jembe afrika ina maana kutembea na mtoto wako umekuwa bushoke mbona unaharibu maana sasa
cc Salamander
Achana nae huyo, ndio hao wanaofikiri kulea mtoto ni kumtuma sigara dukani tu.
Mkuu huwa nafurahi sana ninapokuwa na mwanangu kwenye matembezi hata kumpeleka shule au kutembea nae popote pale na yeye mwenyewe anajihisi furaha sana anapokuwa nami sasa kusema hao ni bushoke sijui ameitoa wapi
Kuna picha hapa iliwekwa, baba anaogesha wanae na kicha cha habari kilikuwa 'BUSHOKE'. Mimi nilieleza msimamo wangu tofauti nikaambiwa ndio wale wale. Nikaacha tu kwakuwa sikutaka kubisha na wapumbavu.
Mr Rocky sasa wameandamana kama wanaenda klinikijembe afrika ina maana kutembea na mtoto wako umekuwa bushoke mbona unaharibu maana sasa
cc Salamander
Kumpeleka mtoto wako kliniki ni lazima, kuna mambo muhimu unatakiwa uongee wewe na daktari kuhusu afya na maendeleo ya mtoto wako. Sasa we kama unafikiri kumpeleka mwanao kliniki ni kwa akina mama tu, basi wewe kichwa maji.