Dada zetu

Daaaa! halafu baadae anatendwa na kijeba
 
Ama kwel atakaemuoa au alimuoa anafaid
 
Naona kule kope imenyofoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu hizo nylon kichwani,
Hawa viumbe wanajipa tabu sana
 
Kuhangaika kote huko, Yaani weka ma make up, Mara mavipodozi, vidonge, full mawigi, Mara kope za bandia, kucha za bandia, n. K. Yote hiyo ili tu kumchanganya Mwanaume. Kweli sisi ni Viumbe Adimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…