Dada zetu wanaohudumu kwenye Bar wanaishije kwa Tsh. 30,000 kwa mwezi?

Wanaishi kwa hiyo 600k yako mtumishi ambayo kwako bajeti haipangiki!
 
Kama mimi navyo shangaa mtu anakunywa wind hook 5 au kumi naona si level yangu ya kilimanjaro.
kaka siku hizi wanaokula windhoek wachache sana mimi pub ya kitaani hapa ni mwendo wa serengeti lite 1500
 
Na mkononi kashika samsung A50,amepanga chumba kodi 50000 kwa mwezi ndani ana kila kitu.halafu utamsikia anaimba wimbo "teenda miujizaaa,Yesu teenda miujizaaa",wakati miujiza kashaitenda mwenyewe😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Barmen wanaishi vipi kwa mshahara usiozidi laki siyo pesa? Barmaid tumeambiwa wanalindwa na "extracurricular" activities.
 
Manager wa Bar ndiyo balaa zaidi. Anaweza kuishi kwa "kuwauza" barmaids. Kila barmaid anayeopolewa analipa buku kumi counter. Akiwauza angalau watano kwa siku? Mmoja anaweza kuuzwa mara mbili kwa siku.
 
damn it
 
akiwa hapo bar hiyo hela anayopata kama mshahara kwa mwezi anaweza kuipata pia ndani ya nusu saa. Imagine akipigisha short time 5 kwa siku za 50k means ana 250k kwa siku moja, the rest kokotoa mwenyewe. Hapa nawalenga wale wahudumu wauza papuchi ambao ni 99.9% ya ahudumu wa bar zote duniani
 
Arusha Niliwahi kufanya kazi ya kulipwa 120k kwa mwez lakin bado ilikuwa ndogo kwangu and a kuigawa, Nikahamia moshi nikafanya tena kAzi ya 250k /month lakin pia bado ikawa ndogo, Nikapata tena kazi sehem ingine need kawa napokea 600k /month lakin pia ikawa bado ndogo kwangu. Sijui wabongo uwa tunakosea wapi, uwa tunashindwa kupangA bajeti ama nin.

Jamaa yangu analipwa 1.2 million per month lakin ilikuwa ni heri na maisha yangu.
 
maisha bana, mi kuna sehem nilikuwa nafanya kazi, nalipwa 150,000/ per month, ilikuwa inabaki na akiba naweka, na niko na mke .
 
Ulishakutana na aliyekondeana au kuvaa vibaya ? wote wanametameta utafikiri wanakunja milioni, ukiona hivo basi jua maisha ni mazuri kikubwa kuridhika.
 
Back
Top Bottom