Dada zetu wanaohudumu kwenye Bar wanaishije kwa Tsh. 30,000 kwa mwezi?

Wanaishi na kipi chenji..of za kununuliwa bia Wanafanya mabadilishano..kuwaibia wale walevi wa chakariii
 
Maisha yamekuwa tight sana kuanzia waajiliwa , waliojiajili , wafanyabiashara kiasi cha kushindwa / kuteteleka kuendesha familia zao.

Mwajiliwa analipwa 600,000/ take home kwa mwezi lakini bajeti haipangiki kabisa. Ugomvi wa pesa nyumbani hauishi kabisa.

Kila Mkoa , kila Wilaya kuna sehemu za kuuzia pombe maarufu kama bar , grocery , pubs ama vibanda umiza...na zote hizo zimejaa wadada wengi kabisa wazuri na wenye watoto na familia zao. Na watoto wao wanasoma shule nzuri tu yaani.

Mishahara ya wahudumu wengi wa bar ina range kuanzia 30,000 mpaka 80,000/ kwa mwezi.

Hela hiyo hiyo aitumie kama nauli ya kutoka na kwenda kazini, na mostly usiku wa manane akifunga bar lazima achukue bodaboda ama bajaji!

Kuna issues za kula awapo kazini etc. Na utakuta wanalewa vizuri tu bila hata wewe mwajiliwa.

Siri ya mafanikio ni nini wakuu ?

Asanteni.
Ukienda pale Kariakoo kila duka la simu linawauzaji zaidi ya 5 umewahi kujiuliza mwenye duka huwa anawalipa mshahara watu wote wale ?

Kama anawalipa mshahara unadhani ni shillingi ngapi kwa mwezi ?

Ukiwaangalia wako classic sana unadhani huwa wanaishije ????
 
Daa amakweli mjini shule

California love
 
Mambo ya ki jasus haya mtafute Yeriko nyerere atakuwa na ufafanuzi zaidi
 
Ukienda pale Kariakoo kila duka la simu linawauzaji zaidi ya 5 umewahi kujiuliza mwenye duka huwa anawalipa mshahara watu wote wale ?

Kama anawalipa mshahara unadhani ni shillingi ngapi kwa mwezi ?

Ukiwaangalia wako classic sana unadhani huwa wanaishije ????
Mimi huwa nadhania wamekodisha, aisee wanasumbua balaa yani. Wanauza hata ambavyo hawana.
 
Wale wanafanya kazi kwa commission imagine duka lina wauzaji wengi mpaka sehemu ya kukaa inakosekana.

Huyo mwenye duka anawalipa nini wanauza kwa commission na kuwapiga wateja poyoyo.

Worse enough wengi wa vijana wale ni graduates wa vyuo vikuu hawana namna tena zaidi ya kufanya kazi kama zile.
 
Ukienda pale Kariakoo kila duka la simu linawauzaji zaidi ya 5 umewahi kujiuliza mwenye duka huwa anawalipa mshahara watu wote wale ?

Kama anawalipa mshahara unadhani ni shillingi ngapi kwa mwezi ?

Ukiwaangalia wako classic sana unadhani huwa wanaishije ????
Hivi mkuu wale wadada niaje?..ukipita K/koo kwenye maduka ya simu wadada kibao kwenye duka moja
 
Wale wanafanya kazi kwa commission imagine duka lina wauzaji wengi mpaka sehemu ya kukaa inakosekana.

Huyo mwenye duka anawalipa nini wanauza kwa commission na kuwapiga wateja poyoyo.

Worse enough wengi wa vijana wale ni graduates wa vyuo vikuu hawana namna tena zaidi ya kufanya kazi kama zile.
Classmate wangu yuko hapo mwaka wa pili sasa kwenye hayo hilo duka la simu kkoo
 
Wanaishi kwa Nguvu ya papuchi...

Ila mademu wa bar wana njaa aisee, muda wote hawajala, we jipendekeze tu utasikia "nina njaa sijala"
Ukiagiza nyama anavuta na kiti pembeni kabsa. Ila naeakubaligi wanajiamin alaf ukimpanga pussy unapewa yote tena unaeza funga na kamba miguu kama msamba...
 
Anaingia kazini sakumi jioni. Ikifika 12 anakuwa ameshahudumia wateja watano. Mmoja anakuwa keshampa ofa ya bia mbili ambazo hanywi atarudisha kaunta. Ikifika saambili usiku wateja wengi wanakuwa washaanza kulewa. Atapewa keep change au wateja kujichanganya mahesabu. Kuna yule ambae àtakuwa serious kwa siku hiyo kuondoka naye, ambaye atakava chakula na baadhi ya vinywaji. Hilo danga linaweza kumpa mpaka twenty iwaponwataelewana. Kwahesabu ya haraka haraka hapo utaona anaingiza si chini ya 30 kwasiku. Hapo achana na madanga yake mengine ya kudumu. Mjini mipango mkuu.
Hii ndio ujweli mtupu, mid nikhudumiwa vizuri huwa natoabkeep change elfu 2000
 
Back
Top Bottom