dada zetu thamani ya mapaja ndio basi?

dada zetu thamani ya mapaja ndio basi?

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,265
Reaction score
1,092
habari za jioni wanajamii? Nipo kwenye daladala natoka kwenye mihangaiko yangu hapa maeneo ya ubungo
kuna dada kaka jirani yangu kavaa umini a.k.a mini skirt wa kufa mtu na umepanda hadi taiti yake nyeupe inaonekana ila ye' haonekani hata kujali hiyo hali na sio kwamc hajui.
Jamani imefikia hau thamani ya mapaja na maziwa ya dada zetu kushuka thamani hivyo!? Kina kaunga na lara nangoja hoja zenu bila kusahau Preta na smile
 
Jamani imefikia hau thamani ya mapaja na maziwa ya dada zetu kushuka thamani hivyo!? Kina kaunga na lara nangoja hoja zenu bila kusahau preta na smile

sasa biashara si matangazo??
Mjini hapaaa,,,
 
Wanaume hamna jema.
Tukivaa majuba mnatusema,
tukivaa Mini ndo kbs,sasa mwatakaje?
 
Wapuuuzi na malimbukeni hao wanaoigiza mambo ya kizungu wasijue wanachofanya ingawa si wote. Mapaja mkiyafunua hovyo mvuto wenu unaisha jueni akina dada wanaofanya ujingaa huu.
 
habari za jioni wanajamii? Nipo kwenye daladala natoka kwenye mihangaiko yangu hapa maeneo ya ubungo
kuna dada kaka jirani yangu kavaa umini a.k.a mini skirt wa kufa mtu na umepanda hadi taiti yake nyeupe inaonekana ila ye' haonekani hata kujali hiyo hali na sio kwamc hajui.
Jamani imefikia hau thamani ya mapaja na maziwa ya dada zetu kushuka thamani hivyo!? Kina kaunga na lara nangoja hoja zenu bila kusahau Preta na smile

mpige picha mapaja tuyaone wengine hayajashuka thamani
 
fahari ya macho mkuu,wengine ndo ugonjwa wetu huo,vaeni hata kyupi,sie poa Tu
 
Wapuuuzi na malimbukeni hao wanaoigiza mambo ya kizungu wasijue wanachofanya ingawa si wote. Mapaja mkiyafunua hovyo mvuto wenu unaisha jueni akina dada wanaofanya ujingaa huu.
Pia wenzao wazungu inachangiwa na hali ya hewa kuna majira huona hata nywele zao jinsi baridi inavyowapiga
 
acha tufaidi utalii wa ndani
tena mie napenda boobz ziwe out, mapaja kidogo na kitovu kichungulie
 
Kuvaa mini skirt ni kama fashion nyingine tu, haina shida. Mimi huwa nazipiga vizuri sana tu, sema mimi huwa sipandi daladala tu labda ndio tofauti huyo dada. Mimi nimelelewa hivi na offcourse nimekuwa nikiona picha za akina mama wa zamani walikuwa wanavaa miniskirt hasa, sio kama sisi leo, zao zilikuwa fupi zaidi!! So sometimes najiuliza hii habari ya kuporomoka maadili, na madada kuvaa nguo fupi ilianza lini, miaka ya 1940s au? Sioni tatizo dada akivaa miniskirt! Kuhusu matiti na mengineyo sitachangia kwa sasa!
 
Next time unapanda daladala na gazeti sio kuangalia ze pajaz!! Mambo ya mjini hayo sio nkasi hapa. Ha ha haaaa
 
mkuuu hapo karibu yako hakuna sisimizi uokote umtupie kwenye k yake aone cha moto
 
kaza roho,weka sura kavu ,,mpe simu yako mwambie aweke namba yake...mbona haya mambo fasta tu...
 
acha tufaidi utalii wa ndani
tena mie napenda boobz ziwe out, mapaja kidogo na kitovu kichungulie

Mmmmh sasa mduguye Kongosho, ewe uli-Ilimbuye au ? ha ha ha .......................vapanga lakini
 
acha tufaidi utalii wa ndani
tena mie napenda boobz ziwe out, mapaja kidogo na kitovu kichungulie

cheeh! kongosho! nimebaki kinywa wazi eti utalii wa ndani?? lakini ukweli hali inachefua utakuta lijitu linene lina mipaja minene halafu lizee nalo eti linaacha mipaja na miziwa wazi halafu wengi utakuta imejaa ile michirizi myeusi au myekundu utadhani kachora tatoo, inachefua haswaa, mini zina sehemu zake hata ukivaa huonekani tatizo kama ukiwa na usafiri binafsi, uwe kwenye disko n.k lakini daladala halafu ukikaa paja nje, kiuno nje, manyonyo nje, eh jamani hata kama ukitaka kujiuza si kihivyo
 
Kuvaa mini skirt ni kama fashion nyingine tu, haina shida. Mimi huwa nazipiga vizuri sana tu, sema mimi huwa sipandi daladala tu labda ndio tofauti huyo dada. Mimi nimelelewa hivi na offcourse nimekuwa nikiona picha za akina mama wa zamani walikuwa wanavaa miniskirt hasa, sio kama sisi leo, zao zilikuwa fupi zaidi!! So sometimes najiuliza hii habari ya kuporomoka maadili, na madada kuvaa nguo fupi ilianza lini, miaka ya 1940s au? Sioni tatizo dada akivaa miniskirt! Kuhusu matiti na mengineyo sitachangia kwa sasa!

Kwa kweli hili swala la kuwasema sana akina dada wanaovaa mini limeibuka tena siku za karibuni. Hapo zamani watu walikuwa wanavaa mimi na walikuwa hawabughudhiwi hadi mwaka 1969/70 ambapo kuna watu (nadhani ni UWT chini ya Sophia Kawawa) walianza kupiga vita suruali za Pecos, nguo fupi, na zinazobana. Ilifikia wakati vijana wa TANU Youth League walikuwa wanatembea na chupa za soda kwa ajili ya kupima kama nguo ilikuwa inabana au la. Nguo ambao ilikuwa haibani ilikuwa ni ile ambao iliruhusu chupa kupita kirahisi mapajani. Huo moto polepole ulikufa nadhani baada ya Nyerere kuingilia kati.

Miaka ya karibuni swala la nguo zisizo za "heshima" limeibuliwa na watu wenye siasa kali za kidini. Unasikia wakilazimisha vitu vingi ambavyo kwa kiasi kikubwa unaingilia uhuru wa watu, hasa akina mama. Siafiki watu kutembea uchi lakini sidhani kuna sababu ya kuwalazimisha watu kuvaa kile tunachotaka sisi.
 
cheeh! kongosho! nimebaki kinywa wazi eti utalii wa ndani?? lakini ukweli hali inachefua utakuta lijitu linene lina mipaja minene halafu lizee nalo eti linaacha mipaja na miziwa wazi halafu wengi utakuta imejaa ile michirizi myeusi au myekundu utadhani kachora tatoo, inachefua haswaa, mini zina sehemu zake hata ukivaa huonekani tatizo kama ukiwa na usafiri binafsi, uwe kwenye disko n.k lakini daladala halafu ukikaa paja nje, kiuno nje, manyonyo nje, eh jamani hata kama ukitaka kujiuza si kihivyo

Mimi sipendi mijitu minene, yenye kitambi na inayotoka sana jasho na kunuka saaaaaaaaana harufu za sigara au pombe.Mimi naona wasiruhusiwe kupanda mabasi au kuonekana hadharani.
 
Back
Top Bottom