Mngeacha kuwaita michepuko muwaite wake zenu, unapiga kampeni hapa halafu huko nje unasema una mke mmoja mwambie mkeo wapo Wengi ili liwe la kawaida kama unavoliongelea humu.Kulingana na sensa iliyopita, mko wanawake milioni moja zaidi ya wanaume.
Kuna wanaume wengine ni mashoga.
kuwa na mwanaume wa kwako peke yako ni kitu kilichoshindikana.
tunadanganyana tu mchana lakini yanayoendelea gizani tunayajua.
hizi mila zilizoletwa na wazungu waafrika zimetushinda.
ndio maana hukawii kuona mwanaume anadai ana ndoa ya mke mmoja lakini kazaa na wanawake wengine watatu, sasa huyo si ana wake wanne??
na mwanamke mwingine kazaa na mume wa mtu aaafu anajitapa kutaka mume wake peke yake!! kweli!! we kubali tu kuwa mke mdogo maisha yaendelee.
mtaendelea kusubiri wanaume wa peke yenu huku mkiongeza idadi ya watoto tu.
samahani kama nimewakwaza, ila hiyo ndio hali halisi
Kuna kaukweli fulani hivi............na mwanamke mwingine kazaa na mume wa mtu aaafu anajitapa kutaka mume wake peke yake!! kweli!! we kubali tu kuwa mke mdogo maisha yaendelee.
Hamna mme wako peke ako, hakuna mke wako peke ako pia......
Shetani sio mbaguzi, kama anavopitia wanaume na wanawake anawapitia hivo hivoNyie mpo wachache, so inabdi uwe wangu peke yangu labda mimi shetani akinipitia ndo naweza kuwa na wawili wa pembeni.
Shetani sio mbaguzi, kama anavopitia wanaume na wanawake anawapitia hivo hivo
Tena kwenu ndio anapitaga sie kaweka kambi kabisa.....shetani awapitie nyie mara ngap? Ya edeni inatosha, vingnevyo itakuwa ni tamaa zenu tu
Tena kwenu ndio anapitaga sie kaweka kambi kabisa.....
Tena kwenu ndio anapitaga sie kaweka kambi kabisa.....
Kama wanawake wako milioni Moja zaidi ya wanaume, je, wanaume ni wangapi? Je, tofauti hiyo yatosha kila mwanaume Kuowa wanne? Kwanini hukushauri Kiowa idadi tofauti na wanne? Nahisi ni kampeni ya kidini. Samahani lakiniKulingana na sensa iliyopita, mko wanawake milioni moja zaidi ya wanaume.
Kuna wanaume wengine ni mashoga.
kuwa na mwanaume wa kwako peke yako ni kitu kilichoshindikana.
tunadanganyana tu mchana lakini yanayoendelea gizani tunayajua.
hizi mila zilizoletwa na wazungu waafrika zimetushinda.
ndio maana hukawii kuona mwanaume anadai ana ndoa ya mke mmoja lakini kazaa na wanawake wengine watatu, sasa huyo si ana wake wanne??
na mwanamke mwingine kazaa na mume wa mtu aaafu anajitapa kutaka mume wake peke yake!! kweli!! we kubali tu kuwa mke mdogo maisha yaendelee.
mtaendelea kusubiri wanaume wa peke yenu huku mkiongeza idadi ya watoto tu.
samahani kama nimewakwaza, ila hiyo ndio hali halisi
mkuu mimi sina kampeni yoyote ya kidini na hakuna sehemu nimeshauri muoe wanne. nimewaambia wanawake waachane na mawazo ya kuwa na mume wa peke yao. hilo lipo wazi kabisaKama wanawake wako milioni Moja zaidi ya wanaume, je, wanaume ni wangapi? Je, tofauti hiyo yatosha kila mwanaume Kuowa wanne? Kwanini hukushauri Kiowa idadi tofauti na wanne? Nahisi ni kampeni ya kidini. Samahani lakini
Mke ni mmoja tuu labda uoe changudoa tena ukiwa unajua tuuHamna mme wako peke ako, hakuna mke wako peke ako pia......