Tatizo wanafikiri ili
mwafrika awe mzuri, ni lazima awe kama mzungu! Puuuuuh! Tuheshimu
u-AFRIKA wetu. Laiti kama wangejua jinsi relaxer inavyotengenezwa?
Wasingethubutu kukaanga nywele.
Si ndio mnavyotaka, vizuri vizuri tu. Mwanamke akiwa ana mapungufu fulani ya uzuri basi mnaanza kuangaza kwengine sasa hii ni kuwasaidia mpate everything under one roof.