Mimi sigusi, niliwahi kugusa nikakipata nilichokuwa nakitafuta. Na kiranga kiliisha. From there iweke tu hapo utaikuta kama ulivyoiacha.Eti jamani, kufuatiliana muhimu aisee ila usiwe too much, eti simu ya mtu niione kama bomu la nuclear siwezi kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh hayo ni mahusiano au vita? Nataka nione hivyo vinavyofichwa ili nijue exactly nipo na mtu wa aina gani kabla sijaingia kwenye commitment kubwa zaidi. Siungi mkono tabia ya kupekuana ila pia siungi mkono suala la kuiogopa simu ya mwenzioMimi sigusi, niliwahi kugusa nikakipata nilichokuwa nakitafuta. Na kiranga kiliisha. From there iweke tu hapo utaikuta kama ulivyoiacha.
Yangu shika tu at yo own risk ila sitaki maswali, ukiona kuna ambavyo huvielewi we mute tu maana huvielewi kwakuwa simu siyo yako.
Numbisa Hii hatari sana tumefika huku. Kwani kinacho mfanya mwanamke atoke nje ma mahusiano ni nini hasa, huenda kila mwanamke ana sababu yake binafsi kwa yule mtu, kama hicho kimemfanya atoke nje kwa nini mwanamke asi achane na huyo mwanaume ili aende tu kule kunako mfaa badala ya kuwa buzy na simu ya mwanamke. Nina maana ya kwamba yote haya ya kupekuliana simu ni kuchunguza kama mmoja ana mguu nje mwingine mguu ndani. TUACHE KABISA TUPATE SEHEM MOJA TU YA PUMZIKO TUNAPOKUWA NA AMANI NA FURAHA SI VONGINEVYO.Same to men kama unajijua huna ujasiri usifatilie simu ya mwanamke wako unatafuta nini
Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.
Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
Kila kitu unapaswa uwe na kiasi, ukimfuatilia sana binadamu kwa hulka yake atafanya kweli, maana kila siku unamtukana mwenzako malaya wakati hata hakumbuki mara ya mwisho kupiga nje ilikuwa lini, pia kama ulikubali kuolewa na mtu anayetumia pombe siyo cha pombe mwache anywe awe anawahi kurudi home na siku hana mpe ten mwambie nenda kaongee na marafiki zako lakini uwahi kurudi utashangaa busara za wanaume muda ukifika pombe unaacha mwenyewe au utalazimika kuacha, ila tatizo dada zetu unataka umbadili mtu ambaye hata mama yake mzazi hakuweza kumbadili.Eti jamani, kufuatiliana muhimu aisee ila usiwe too much, eti simu ya mtu niione kama bomu la nuclear siwezi kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Champagnee Kwani kinacho mfanya mwanaume atoke nje ya mahusiano ni nini hasa, huenda kila mwanaume ana sababu yake binafsi kwa yule mtu, kama hicho kimemfanya atoke nje kwa nini mwanaume asi achane na huyo mwanamke ili aende tu kule kunako mfaa badala ya kuwa buzy na simu ya mwanamke. Nina maana ya kwamba yote haya ya kupekuliana simu ni kuchunguza kama mmoja ana mguu nje mwingine mguu ndani. TUACHE KABISA TUPATE SEHEM MOJA TU YA PUMZIKO PALIPO NA AMANI NA FURAHA SI VONGINEVYO.Habr zenu wanabodi,
Leo nataka niwape hawa dada zetu ukweli nmegundua wengi wanafeli sana hapa. Dada zetu usipoteze muda wako eti unamfatilia mwanaume wako anafanya nini nk..
Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.
Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
NB: Mwanaume haachwi kwa kucheat
Sent from my iPhone using JamiiForums
Champagnee Kwani kinacho mfanya mwanaume atoke nje ya mahusiano ni nini hasa, huenda kila mwanaume ana sababu yake binafsi kwa yule mtu, kama hicho kimemfanya atoke nje kwa nini mwanaume asi achane na huyo mwanamke ili aende tu kule kunako mfaa badala ya kuwa buzy na simu ya mwanamke. Nina maana ya kwamba yote haya ya kupekuliana simu ni kuchunguza kama mmoja ana mguu nje mwingine mguu ndani. TUACHE KABISA TUPATE SEHEM MOJA TU YA PUMZIKO PALIPO NA AMANI NA FURAHA SI VONGINEVYO.
Na wanaoongoza kwa kulia lia humu ni wanaume.
Nasema tulia na mtu unayemuona ametulia usijilazimishe, tafuta tu lazima utapata huenda vigezo unavyo vitumia ndio vinakusababishia uanguke kwa ambaye unafikiria hajatulia. mbona wapo wengi tu walio tulia. na hata ukichukua simu yake wala hana wasiwasi ila na wewe ukubali kuchukuliwa yakwako na usiwe na wasiwasi.Sure kaka but daah unaweza tulia lkn ukapata kiguu na njiaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Offcourse hata mimi na wewe tukiwa na friendship out of jamiiforums thread yetu wasapu au text itakuwa softly regerdless hatuna interest za kuvuliana chupi, because in real life mimi wadada nawatreat the way they deserve to be loved, sasa ukija kichwa kichwa kufuatilia simu yangu utapotea vibaya mnoHapo lazima unazungumzia flirting, sumu hiyo. Acha.
Tuambie uliyoyajuaKuna rafiki yangu huyu najua ana michepuko ila ana wivu kwa my wife wake. Sasa wakanyimana kushikianana simu.
Shemeji akiona mmewe kakaa na simu anajichekea mwenyewe roho inamuuma siku moja akaikwapua hapa ndipo ugomvi ulipoanzia nikayajua.
Uliyoyasema ni kweli ila hiyo aya ya mwisho sikubaliani na wewe. Mfano mimi na uzee huu sijawahi kukanyaga sehemu inaitwa club unataka kuniambia ipo siku nitaenda nikiwa na mvi? Kuna universal formula ya maisha kwamba walichopitia wengine lazima kila mtu apitie? Mimi nadhani ni hulka tu kwani huyo le mutuz enzi za ujana alikuwa ameparalyse? Si alikuwa mzima tu na huenda alifanya mengi tu ya ujana sema mtu mwenyewe ndio hivyo hakuiKila kitu unapaswa uwe na kiasi, ukimfuatilia sana binadamu kwa hulka yake atafanya kweli, maana kila siku unamtukana mwenzako malaya wakati hata hakumbuki mara ya mwisho kupiga nje ilikuwa lini, pia kama ulikubali kuolewa na mtu anayetumia pombe siyo cha pombe mwache anywe awe anawahi kurudi home na siku hana mpe ten mwambie nenda kaongee na marafiki zako lakini uwahi kurudi utashangaa busara za wanaume muda ukifika pombe unaacha mwenyewe au utalazimika kuacha, ila tatizo dada zetu unataka umbadili mtu ambaye hata mama yake mzazi hakuweza kumbadili.
In nature binadamu anabadilika mwenyewe kila baada ya miaka 7, count na umri wako utapata jibu, kuna madhara makubwa sana ya binadamu kuruka stage ya ukuaji reffer ti Le Mutuz, anayoyafanya sasa kuna muda wake ndio ulikuwa umri sahihi akaruka.
Ni maamuzi yako kama yanavyokuwa ya wengine. Akiamua kukuficha hautojua kitu na utaingia tu kwenye hayo maamuzi makubwa bila kujua. Hujaona hapo ushauri wa Matola?Duuh hayo ni mahusiano au vita? Nataka nione hivyo vinavyofichwa ili nijue exactly nipo na mtu wa aina gani kabla sijaingia kwenye commitment kubwa zaidi. Siungi mkono tabia ya kupekuana ila pia siungi mkono suala la kuiogopa simu ya mwenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwe makini na ushauri wa MMU.
Humu mengi tunayasema tusiyoweza kuwaambia wake zetu na waume zetu majumbani pindi wanapotukera.
Sumu tunaitemea humu...
Ni maamuzi yako kama yanavyokuwa ya wengine. Akiamua kukuficha hautojua kitu na utaingia tu kwenye hayo maamuzi makubwa bila kujua. Hujaona hapo ushauri wa Matola?
We shika tu mama at yo own risk.
Ukitaka kuijuwa tabia halisi ya mwanamume awe na pesa, usimdanganye mwenzuo, sisi wenyewe kwa wenyewe mshamba mmoja akipiga pesa anachetuka hamko naye tena rafiki zake wapya ni mashangingi tu ya mjini.
Ndio hicho nilichokuwa nakwambia kuwa atakuachia hapo na ujiaminishe kuwa nothing is going on kumbe nyuma ya pazia kuna mengine.Yatokee ambayo yako beyond my reach, yale yaliyo ndani ya uwezo wangu lazima yakae sawa. Matola ye kasema hafichi simu na mimi ndicho hicho ninachokizungumzia. Mtu anaweza kuacha simu yake hapo hata siku nzima nisihangaike nayo hata ila mtu hatakiwi kuficha simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la JF kuna gape tofauti za umri, kwahiyo formula ya one size fit all haipo.Ni maamuzi yako kama yanavyokuwa ya wengine. Akiamua kukuficha hautojua kitu na utaingia tu kwenye hayo maamuzi makubwa bila kujua. Hujaona hapo ushauri wa Matola?
We shika tu mama at yo own risk.
Nasema tulia na mtu unayemuona ametulia usijilazimishe, tafuta tu lazima utapata huenda vigezo unavyo vitumia ndio vinakusababishia uanguke kwa ambaye unafikiria hajatulia. mbona wapo wengi tu walio tulia. na hata ukichukua simu yake wala hana wasiwasi ila na wewe ukubali kuchukuliwa yakwako na usiwe na wasiwasi.
Wengi sana siku hizi wanaachika wanatoka na vibegi vyao vya mgongoni.Mwanaume haachik sasa unafeli
Sent from my iPhone using JamiiForums