Dada zetu ridhikeni basi....

Dada zetu ridhikeni basi....

Kwann hataki kuachika?? Can you tellme why?? Ameona me natoa matunzo ndomana yupo try kuwa spare tair[emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kakufanya chuma ulete...Sasa atataka vipi kuachika...Na kashajua una mtu wako sasa yeye kazi ni moja tuuu....KUKUCHUNA..
 
Concenrate na familia yako mjenge uchumi wa familia hayo mambo ya michepuko ndio baadae ukishtuka miaka imeenda huna mbele wala nyuma unakuwa kama Muumin Mwinjuma
Ushauri mzuri sana huu Mkuu, asipokuelewa basi
 
Wanakuja PM wenye uhitaji wa 40 GB....na vile bando zilivyopanda bei

Ungemalizia kutaja huwa unamuunga GB za mtandao gani ili watafute 'line' mapema kama hawana

[emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lipia tangazo mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uzuri katika maisha ukishagusa 30yrs tayari umejitosheleza kama ulipita njia sahihi ya maisha. Katika umri huu kuonga sio issue kubwa. Nashangaa sana watu waliomshambulia Gadner Habbash, kwa kutoa siri ya over 30 men ukweli ndio ule, sema wanasichana hawajui. Wanaume wa umri huu tayari wanajua mahitaji ya mwanamke.

Mtoa mada Mimi ni mwenzako hapa Nina kipozeo changu bajeti yake ni 400k monthly na hata sioni shida hii ni win-win. Bila shaka mkuu wewe ni over 30.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pamoja mkuu, hawa wasio hudumia ndo daily wanakuja wanalia humu ndani.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kakufanya chuma ulete...Sasa atataka vipi kuachika...Na kashajua una mtu wako sasa yeye kazi ni moja tuuu....KUKUCHUNA..

Yeye inatosha sina malengo naye offa inaenda kwa mwingine


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuhusu kuwa na gold ndani wewe ndiye watakiwa kutoa jibu sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Nampa pesa mwanamke pale napofeel kama ananifurahsha ntampa pesa sana tu offa ntampa sana tu, na huwa siwez kumla mwanamke burebure hta iwe kimasihara lazma nmpe hela that who I am


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom