Dada zetu ridhikeni basi....

Dada zetu ridhikeni basi....

Sina familia mkuu hta kuoa bado acha nile maisha kuoa kupo tu[emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama huna familia ruksa kutombanika, uliposema una mchepuko nilijua mke unaye.
 
wachaaaa weeee safi sana mkuu usisahau kulipia tangazo 😀

Hahaha hayo yako sihitaj dem wa jf bhana, ila ndo ukwel huo kama wanaokula free naamin wanakula kaz mbovu huwez kula free kwa dem mkal hta siku moja labda iwe kmasihara🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unasema turidhike....Sasa wewe mbona huridhiki na huyo mkeo mpaka unahangaika na mchepuko??

Wacha mchepuko ukunyooshe...

Namwita mke coz ya heshima yangu[emoji848]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unasema turidhike....Sasa wewe mbona huridhiki na huyo mkeo mpaka unahangaika na mchepuko??

Wacha mchepuko ukunyooshe...

Kwann hataki kuachika?? Can you tellme why?? Ameona me natoa matunzo ndomana yupo try kuwa spare tair[emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
90000 kwa mwezi (bando)
Kusuka maslay kwini kwa week Mara 2hadi3..tufanye Mara 2@ 70000(140000)
Pesa ya week 100k (mwezi laki4)

Total 630k ...mshahara wa mfanyakazi huo..bado shopping

Ungepunguza cost za mchepuko ungewekeza kwenye akili ya huyo unaemuita mkeo..mngekuwa mbali Sana.

Ila hongera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
90000 kwa mwezi (bando)
Kusuka maslay kwini kwa week Mara 2hadi3..tufanye Mara 2@ 70000(140000)
Pesa ya week 100k (mwezi laki4)

Total 630k ...mshahara wa mfanyakazi huo..bado shopping

Ungepunguza cost za mchepuko ungewekeza kwenye akili ya huyo unaemuita mkeo..mngekuwa mbali Sana.

Ila hongera sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Siwez toa pesa yote hio kwa mwezi kwan ina gold ndani??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanajukwaa habari zenu,
Nmeamua kushare hii hasa kwa nyie dada zetu msiokuwa na shukrani. Binafsi mimi huwa nagharamia kwakwel madem nlodate nao lazima wanisifie kwa hili nipo vzr.

Na kimchepuko tunaenda 3 months sasa kinasoma Chuo 3rd yr sasa ila kinaomba sana hela dadeki, sahiv shem lenu yupo safar likizo so mda mwingi nakua nae huyu kupunguza uzito.

Hiki kimchepuko nakinunulia gb40 za mwezi ila kinatumia week zmeisha kinaomba tena[emoji23][emoji23]( huwa sitoi mpaka mwezi tena). Nakipa pesa za kusukia, kula, yan hta shem lenu huwa simpi pesa kama hyu ila bado hakiridhiki.

Baada ya kuona hvo nikaacha huduma nikampotezea eti na yeye akakaza[emoji23][emoji23]. Sasa jana ananitafuta anaomba msamaha sana mpaka sasa anasumbua htr before nilimwambia nipo single wkt namtongoza ila jana nimemwambia na mtu wangu kitambo bado anaforce anasema haina shida, nikajua kumbe nilikua nampa matunzo, nachomsifia huyu dada kutoa so mgumu anytime anakupa hapa nampa 100%

Dada zetu kwa sasa kuna mwanaume wa kukupa gb40?? Kuna mwanaume wa kukupa kila unachotaka? Ridhiken jaman.

Happy valentino.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mstari wa mwisho unaonesha ww ni mwanamke (nisamehe lakini)
 
Ni kutoa so kuhonga, siwez kuhonga kisa papuchi hta navomeet na demu huwa simpi pesa labda ya uber 30k huwa sizidish hapo akisign sasa hapa ndo atapata matunzo


Sent from my iPhone using JamiiForums

Kila la kheri, mimi nimeshindwa hizo mambo. Mimi mwanamke anayeniomba hela ya kusuka na hela ya bundle huyo hanifai


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri katika maisha ukishagusa 30yrs tayari umejitosheleza kama ulipita njia sahihi ya maisha. Katika umri huu kuonga sio issue kubwa. Nashangaa sana watu waliomshambulia Gadner Habbash, kwa kutoa siri ya over 30 men ukweli ndio ule, sema wanasichana hawajui. Wanaume wa umri huu tayari wanajua mahitaji ya mwanamke.

Mtoa mada Mimi ni mwenzako hapa Nina kipozeo changu bajeti yake ni 400k monthly na hata sioni shida hii ni win-win. Bila shaka mkuu wewe ni over 30.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
90,000 bundle
Kwahiyo kusuka anasuka mara moja tu ndani ya mwezi mzima?? (Huo uvundo sio wa nchi hii[emoji6]) 70,000
Outings (dinner dates) hujatuambia ni bei gani bado hela ya kumpa yeye [emoji28][emoji28] almost 400k hiyo per a month.. Uko njema
 
90,000 bundle
Kwahiyo kusuka anasuka mara moja tu ndani ya mwezi mzima?? (Huo uvundo sio wa nchi hii[emoji6]) 70,000
Outings (dinner dates) hujatuambia ni bei gani bado hela ya kumpa yeye [emoji28][emoji28] almost 400k hiyo per a month.. Uko njema
Hahaha Wewe huzidi 100k niombe namba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom