Dada zetu Kulikoni....

Unauliza jibu?
naija-man.jpg


Huyu jamaa anasubiri huyu bibi afe arithi mali!
 
Huyu jamaa anasubiri huyu bibi afe arithi mali!

Ndiyo maana wazungu hasa UK wameanzisha kodi katika mali za kurithi. Ukipewa tu mali wanatembeza panga hadi 50% we acha tu. Lakini huyu bibi waweza kukuta ni 60+ na wenzetu wanaishi hadi 100+. Wakati huyo Mnigeria wastani nafikiri ni 40 years. Hivyo imekula kwake
 
Mbona hata humu humu nchi vibabu vinachukua warembo tu!, kipenda roho....!

Nasikia mwanaume akifika 50s anakua na nguvu za kiume kama kijana wa 20s. Tatizo lipo 35 mpaka 45 labda mawazo yanakua mengi hapo.

Huyu mwanaume ndio kanimaliza, halafu tunafanana kishenzi!!
 
kwani kupita njia humu ndani si inaruhusiwa..... nikimaliza wkend nitarudi kuwasalimu
 
Bongo ziponyingi sana wao wanaita mabuzi but ni kama mumewake tu, tofauti nikuwa huwahawataki mikataba ya kisheria tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom