Dada Zetu inakuwaje tufanya hivi!!

Msaidie mkuu inaelekea kapoteana

mmhhh jamani mapaja yenyewe hata hayaonekani vizuri..
je kama ingekuwa ndo video..
mmmhh JF ingefungwa...
labda kapagawa ajili ya magoti lol
maana hicho ndo kinaonekana vizuri ...
 
Hivi nimapaja yamegusana ndo yakaleta sura ingine hapo kati? Au mi naona auto fokasi. Sielewi elewi hapo kati kumekaaje.

Utata uko wapi? check btn lines, ipo clear bila chenga. hahaha..
 
mmhhh jamani mapaja yenyewe hata hayaonekani vizuri..
je kama ingekuwa ndo video..
mmmhh JF ingefungwa...
labda kapagawa ajili ya magoti lol
maana hicho ndo kinaonekana vizuri ...

Unapoiangalia fanya kama una kilaza kichwa chako kwenye bega la kushoto . utaiona bila chenga btn lines. hahahah!
 
Unapoiangalia fanya kama una kilaza kichwa chako kwenye bega la kushoto . utaiona bila chenga btn lines. hahahah!

mmmhh asante
lakini mie bado napenda sana shingo yangu
hii ni adhabu lol
borea niingie tu huko ilikotokea nikaiiangalie yote vizuri lol
 
Kwakuileta hapa ajadiliwe hujamsaidia..labda yeye aliweka kwaajili ya watu wake we umleta kwa wanajamii!Sijui utapata raha gani watu wakianza kumuita majina ya ajabu ajabu!Ungemwambia yeye binafsi!
 
binadami ni waajabu sana. wakizidiwa hawasemi. hata ukiwa ukiwasogelia ni wakali kiana kwamba hawahitaji chochote. wakiwa peke yao ndio wanafanya mambo ya ajabu. sasa Mungu atupe nini??

Kina dada, wakaka wakionyesha mwelekeo onyesheni walau smile kidunchu, japo utatakiwa kuwa makini. Sasa utakuta mtu anajilaumu mkisha achana, hivi kwanini sikumsemesha zaidi yule kaka??, fanya bidii huwezi jua Mungu amekupangia nini. Sio unaishia kuweka aibu yako barabarani eti huna mtu wa kumwonyesha. ni aibu.

Tulinde tamaduni zetu. zamani hata kutamka neno chupi ilikuwa ni mwiko. Lakini leo ndio television za kila siku. kazi ipo.
 
I repeat,its a free world,she is showing what her mother gave her,she is confident and she knows what she wants and who she is targetting.If its not you,sorry,there are lots who will be happy to see her,spend some time with her,get their needs from her and perhaps fantasize about her with the picture.Freedom,let her be!
 
Usitudanganye!!!!!,
 
Only if yeye ndo ameiweka kwenye internet.................jamani pengine amepigwa na BF wake na ndie aliyemwanika!! Mi jamani staki

Umesema la maana hapo MJ1, ila pia mavazi mengine yanaashiria kitu flani...........
sijui kutafuta attention? maana nilishawahi ona mdada ana mwili wake mzuri
tu kama dada MJ1 hapa, halafu hiyo sketi ufupi wake sijawahiona maana
hata kuinama hawezi. Na kila alipokuwa akitembea alikuwa anaivuta kwa chini
maana ilikuwa inamvuka. Sasa nkajiuliza kwanini aliivaa kama hayuko confy? Jibu
sikupata.......Umekubali sasa hapo kwanye red hahahh
 
Back
Top Bottom